Recent content by Ching'wa omegera

  1. C

    JamiiForums Tanzania CCM nambari wani

    Sikio la kufa hali,,,,,,,,,!!hawahitaji elimu,, kama unaamini kuwa unalofikiri au kutenda nikwamanufaa ya UMMA hata kwa udkiteta TENDA ,enzi za mwl wazazi walioacha kupeleka watoto shule walichapwa viboko,:walifungwa: umefika wakati wa kuchukua ha2a.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimerejea safari kutoka Mikoa ya Kusini, CHADEMA haipo kabisa na wananchi hawamjui Mbowe

    Kwamba CHADEMA hawaijui lakini wanatambua kuwa nikampuni ya wachaga !?unapata faida gani kuwawekea maneno mdomoni watu wakusini kwa kutumia ujinga na umasikini wao? nani asiejua kua mtaji wa ccm niujinga na umasikini.?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete awatimua makada wa CCM waliokusanyika kumpokea

    MHhhhhhh.,,,,!!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    Kumbe ni zito!!<zuberi> mwachieni<kabwe>kama una mbeleko kambebe
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

    Mimi simwelewi raisi wangu kikwete ?anamfurahisha nani na anamkomoa nani!alipokea rasimu kwambwembwe na kumfagilia waryoba ,akaja bungeni akampondea waryoba kama juha fulani,. kitambo kidogo akamtunukia nishani ya kutukuka,dhamira ya katiba haipo rais wangu ni msanii acha wakusanye hela za kampeni
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujiondoa CHADEMA kwani ni chama cha kibaguzi

    Jitambue kama kweli uliwahi kuwa kiongozi wa CDM ulipata kwa mujibu wa katiba ya chama ambayo imesajiliwa na msajili wa vyama kwa mujibu wakatiba ya tz.,.Kama una uhakika nahilo badala ya kulalamika nenda kwa msajili aifute CHADEMA. NIUSHAURI WA BURE tafakari CHUKUA HATUA
  7. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    He..sijui nimekosea njia au naota?! yaani kama vile kichaa kanyakua nguo za jamaa anaeoga mtoni kakimbia na mwenye nguo anamfukuza wote nyeti ziko hadharani!! wapigeni picha mtuletee tuwajadili.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Waraka wa tamko la Baraza la Kikristo umesomwa leo Makanisani, CCM chali

    Sikuwepo ndo'naingia humu napita2
  9. C

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, Paul Makonda na Humphrey Pole Pole kuwasha moto wa Katiba Ubungo Plaza leo

    Kituo gani cha habari kitarusha mdahalo huo.
Back
Top Bottom