Recent content by Chinguile

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi (tempo)

    Uko wapi dada?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha ufukweni kinauzwa

    Duh! inaweza kupungua kias gani mkubwa?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananibania sana!

    Bro bado huajawa na haki kimsingi ya kupewa km unavotaka saabu hujamuoa! Hiyo ni km zawadi anakupa na siku zote zawadi haichaguliwi aina wala kiasi, mtoa zawadi huamua akupe nini na kwa kiasi gani. Muulize kwa nini anafanya hivo, huenda mzee umemzidi sana maumbile!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ

    Komaa kijana, kila kitu huwa kinawekwa wazi kukiwa na nafasi hvo jitahid kuwa karibu na vyanzo vya habari
Back
Top Bottom