The Bible is infallible and inerrant word of God. Imejaa maarifa ya kila aina. Kuanzia k, wajibu ktk dunia, kujitafutia mali, kupata mwenza, kutunza mke na familia kwa ujumla, kuwajibika kwa wazazi, familia, taifa na jamii ikuzungukayo nk. Biblia pia inakupa Nguvu ya kushinda vita ktk ulimwengu...