Recent content by ChingaMzalendo

  1. ChingaMzalendo

    Mchina Akamatwa na Pembe La Ndovu Airport Dar

    mcina kamilikishwa nchi
  2. ChingaMzalendo

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Katika nchi yoyote yenye maadili ya uongozi na siyo pori la mafisadi, swal akama hili linawango'a mafisadi. Inakuwaje Zitto Kakwe, Shamsa Mwangunga na Pius Msekwa wakodiwe ndege kwa zaidi ya Tsh. 100millioni…..Walikuwa wanaenda wapi? huu ni ulafi na ufujaji wa rasilimali za nchi yetu kiasi...
  3. ChingaMzalendo

    Mchina Akamatwa na Pembe La Ndovu Airport Dar

    Napenda kuwapongeza vijana wazalendo katika uwanja wa Ndege wa JKNI. Hapo juzi mchana mithili ya saa 8 mchana, waliweza kunasa PEMBE moja la RHINO (mdogo) lililokuwa likipitishwa na Mchina ambaye alikuwa anaeleka kupanda ndege ya Ethiopiana Ariline. Baada ya kubaini hilo PEMBE lilifichwa ndani...
  4. ChingaMzalendo

    Why Mheshimiwa Mbunge Zitto is My Hero!!

    Sidhani kama kuna mwanamme Tanzania anayehangaika kujibizana na huyu William.....Tumuhache na mbes wake kwa sababu akili yake ni Huko....Sishangai akiwa rafiki ya Diva wa Clouds.....Kwa maana Diva ni mpenzi wa ZZK
  5. ChingaMzalendo

    Muhongo: Ni upumbavu kusema Mnada Wa Vitalu Usitishwe

    Nipo ndani ya ukumbi wa mikutano wa JK nyerere, ambako dakika chache Waziri muhongo amewaambia baadhi ya watu waliokuwa wakimuuliza maoni yake kuhusu ndugu Mengi kumshauri yeye na wizara kusitisha mnada wa vitalu. haya ndo maneno yake, “Hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi. Mda wa mjadala umekwisha...
  6. ChingaMzalendo

    Makamu wa Rais Apatwa na Aibu Ya Aina Yake. Aionja Kero ya Umemei!

    Kadhia ya aina yake leo imetokea katika uzinduzi wa mnada wa vitalu vya gesi ilizofanyika katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere katikati ya jiji la Dar. Akiwa anahutubia katika ufunguzi wa kongamano hilo, makamu wa Rais Dr. Bilali alikatikiwa na umeme mara kadhaa kitendo kilichoifanya ukumbi mzima kuwa...
  7. ChingaMzalendo

    John Mashaka: Naomba mdahalo na Nchemba na Kigwangalla, nawapa wiki moja

    Ninachojiuliza ni kwanini huyu kijana anajadiliwa kupita maelezo. Kila sehemu. January, Zitto na sasa Mashaka. Huyu kiranga nimemfatilia, ni chizi fulani tu anayejaribu kuvuruga majadala. Hata yeye anamuogopa mashaka ndo maana anaandika vitu hata yeye mwenyewe asivyovielewa.
  8. ChingaMzalendo

    John Mashaka: Naomba mdahalo na Nchemba na Kigwangalla, nawapa wiki moja

    Namuunga Mkono Bw. Mashaka ku expose hawa copy and paste
  9. ChingaMzalendo

    Mpango wa Gesi ya Mtwara: Kutoka Iliko hadi Dar, Mombasa, Kampala, Kigali hadi Bujumbura

    vizuri, lakini kila kitu kitatengenezewa mtwara
  10. ChingaMzalendo

    Mtwara Natural Gas Saga Is not a Curse, But Rather an African Awakening!

    This is an interesting picture..............
  11. ChingaMzalendo

    Nani Zaidi: Mwanakijiji Vs John Mashaka

    Hawa vijana wawili ni tishio katika siasa za Tanzania iwapo watajikita kuwania nafasi za uongozi.Majina yao siyo geni. Ni majina ambayo tumeyazoea na uwezo wao unafahamika. Mwankijiji ni moyo wa JamiiFourms. Anaibua mijadala mizito na kuweza kuyatetea. Niseme tu kwa kifupi kwamba MMwanakijiji ni...
  12. ChingaMzalendo

    Tanzania Gold Rush & C.C.M Politics

    the only way to deal with Kikwete "National Catastrophe" Is popular uprising. We must find a mechanism for organizing this option of last resort
  13. ChingaMzalendo

    John Mashaka adanganya umma kupitia ITV

    huyu sijui shakespear sijui nani, si akagombee ubunge akutane na wakina Tundu Lissu watetee haki za wanyonge badala ya kunyanyasa walalahoi na viingereza vigumu. uwezo wake kwa hakika havina mjadala mbona asiende?
Back
Top Bottom