Recent content by chinga chinga

  1. C

    Lowassa na kundi lake watumiwa bila kujijua

    Kama unaakili timamu na ni mtanzania harisi angalia chadema uongozi wa juu wote moshi,kilimanjaro tu mpaka na wake zao na madada zao wananyazifa za juu chadema ww unashabikia tu subili maguful ashike dora ufuraie tanzania ya maguful usipoteze kula yako maguful√ mbunge wa ccm√ diwani...
  2. C

    Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

    Sio kumshitaki yani uyo nikufungwa maisha milele ndo mwizi wamali za tanzania eti ndo cdm wanamuona anafaa kushika dora mnafikiri dora ni ya ukabila atumtaki lowasaaaa afaiiiiiii ataweka tanzania reani atukubali, maguful karibu ikulu kwa moyo safi make kikwete kasha safisha eneo ccm oyeeeeee...
  3. C

    Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

    Nakuunga mkono kwa hayo uliotaja mwaka huu ukiwa watajiju
  4. C

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Ukawa amkuwa na ngombea? Mpaka mnanunuliwa na,mtu aliekoswa sifa ccm ndo mnamuona bora ivi amjui mmenunuliwa na lowasa kwa bilion 10 nyie wapiga kelele ndo mtaji wa mtei, mbowe,disamburo waliwalagha kuwa wanadai chama wakalamba bilion 5 poleni watanzania wenzangu
  5. C

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Ukawa mmemsikia yusufu makamba?lowasa anasifa tusidanganyane
  6. C

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Nashangaa kwa umati aliokuwa mao magufuli ainamfano morogoro uyo ndo anakubalika kwa wananchi sio uyo fisadi alieenguliwa na kamati atutaki kuweka ikulu bondi msaau lowasa kuingia ikulu labda kwa miujiza ya shetani aipo ikulu ya majizi mwambieni akatibiwe uyo fisadi
  7. C

    Lissu na Marafiki wa Lowassa kutikisa Mtwara leo hii

    Tumegundua lisu nimwana sheria lakini anajichanganya
Back
Top Bottom