Recent content by Chinese blade

  1. Chinese blade

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maono binafsi kuhusu ukurasa mmoja wa Instagram

    Is just neither essential nor compulsory
  2. Chinese blade

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maono binafsi kuhusu ukurasa mmoja wa Instagram

    Ni heri hata ingekuwa business oriented lakini Iko kiupinde kwa namna fulani.
  3. Chinese blade

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maono binafsi kuhusu ukurasa mmoja wa Instagram

    Kama ni mtumiaji wa hovyo wa Instagram basi ni rahisi sana kuutambua
  4. Chinese blade

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maono binafsi kuhusu ukurasa mmoja wa Instagram

    Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo. Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu. Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe...
  5. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Sema kigumu unachopitia upate ushauri

    Still I'm single
  6. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Kama umekaa na namba ya simu kwa miaka 10 na kuendelea, nakupongeza sana!

    Huu ni ujeuri wa kiwango Cha SGR!
  7. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Lindi mbona pamepoa sana jamani?

    I appreciate you mzee!
  8. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Ila malalamiko hayataisha,,,!!!! Usaili ulikuwa unafanyika Dodoma, wameboresha kulingana na mahitaji ya wadau na uwezo wa sekretarieti ya ajira na bado malalamiko yanaendelea. Leo nimeamini hakuna kitu kitakuja kufanywa kwa ubora na kisikose lawama na kubezwa!!!
  9. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Tatizo maelezo yake yanasomeka kama kwamba msailiwa amepangiwa kituo cha usaili ilhali ni yeye mwenyewe amejichagulia kituo!
  10. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Hayo ni majukumu ya familia malalamiko yasitoke nje!!!
  11. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Malalamiko ya nini tena, ndugu yako ndiye aliyechagua kituo cha usaili! Labda kwa kuwa kuna tofauti ya uelewa!
  12. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Usaili unafanyika kwenye mkoa alioombea kazi msailiwa. Acha kupotosha!!!!
  13. Chinese blade

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    Utandawazi unaharibu baadhi ya maarifa muhimu ya kifamilia!!!
  14. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Wakristo wengi kuhudhuria Mikutano na Hafla za Waislam / Kiislam

    you are so stupid!!!
Back
Top Bottom