Jamani ndugu wapendwa.......
Naombeni msaada wenu kila nikila baadhi ya vyakula napata kiungulia kikali ambacho kunanitesa week nzima.
Kwa mfano nikila viazi vitamu nashikwa na kiungulia..
Vivyo vivyo nikila dagaa wakavu, maharage na mbaya zaidi nikila tu mboga ilio ungwa na nyanya nyanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.