Recent content by chinatown

  1. chinatown

    JamiiForums Tanzania Mwanaume chukua somo kwenye kisa cha Talulah Riley na Elon Musk

    NDOA NI MAHUSIANO YA MUDA TU,UNAWEZA KUWA MREFU SANA AU MFUPI SANA LKN MNAWEZA SABABISHA MUDA UKAWA MREFU
  2. chinatown

    JamiiForums Tanzania Mwanaume chukua somo kwenye kisa cha Talulah Riley na Elon Musk

    HAKUNA MWANAMKE ASIYEPENDA PESA,
  3. chinatown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

    HAWA NI WABINAFSI WALIOPITILIZA HAWAFAI HAWAFAI HAWAFAI
  4. chinatown

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpongeze Lissu kwa ushindi, itakusaidia kisiasa

    SUBURI NIKULETEE HAPO HAPO
  5. chinatown

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpongeze Lissu kwa ushindi, itakusaidia kisiasa

    KIPAZA SAUTI HUNA?
  6. chinatown

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpongeze Lissu kwa ushindi, itakusaidia kisiasa

    ONGEZA SAUTI
  7. chinatown

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla: Mbowe asikubali kushindwa na Lisu, akishindwa atakuwa Fala sana

    YAANI HUYU JAMAA SIJUI U DR WAKE UPOJE.......THIS IS NONSENSE
  8. chinatown

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sheikh Yahya Hussein alitabiri baada ya Rais Mwanamke kumaliza Mihula yake Upinzani utaongoza nchi

    ALICHOTABIRI SHEKHE YAHYA SI HIKI MNACHOANDIKA ULIZENI MJUE,NA KATIKA HUO UTABIRI MAWILI YAMETOKEA TUNASUBIRI LA TATU NA NNE KWANI ALITABIRI VITU 4
  9. chinatown

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

    KURA HAZIKUTOSHA BRO,POLE YAKO
  10. chinatown

    JamiiForums Tanzania Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

    HAWA JAMAA NI BURE KABISA KWANZA HAWAKUPI ELIMU ILI UWEZE FANYA BIASHARA NA KULIPA KODI KIRAHISI WANACHOTAKA WAO NI UKOSEE ILI WAKULIME
  11. chinatown

    JamiiForums Tanzania Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

    SHIDA ILIYOPO NI KWAMBA OFFICERS WA TRA KWA MAZINGIRA HAYA MAGUMU KWA MFANYABIASHARA WAO NDIO WANAPIGA PESA SAANA,HIVYO HAWAWEZI MSHAURI MAMA WAZIRI WALA MTU YOYOTE KUFANYA MABADIRIKO,WANAPATA PESA NYINGI KUZIDI SERIKALI
  12. chinatown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe ametulia, hajibu tuhuma anazitupiwa na watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima na busara ya uongozi

    SI MUDA WOTE KWENYE MAISHA TUNAHITAJI HEKIMA
  13. chinatown

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

    KWA TAFSIRI YA UPINZANI KWA SASA MBOWE ,FAM SI MPINZANI TENA
  14. chinatown

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa BoT kuhusiana na upotevu wa Sarafu za Sh 500, 200, 100 na 50

    Kumekuwa na uhaba mkubwa sana wa sarafu tajwa hapo juu sijajua kama bot kama msimsmizi wa hizi pesa anafahamu hili au waziri wa fedha alitolee ufafanuzi maana kina dalili ya vitu vidogo vidogo hata vikubwa kupanda bei Wafanya biashara mfano daladala wameathirika na hili Wafanyabiashara wa...
  15. chinatown

    JamiiForums Tanzania Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!

    Paskal umeanza kunifanya nifikirie zaidi juu kauli yako kuhusu pesa,yaani mtu akupe tu pesa,hakuna pesa inayotolewa kwa mtu kama zawadi,pesa haikuwahi kuwa zawadi,pesa ya namna hii ni rushwa na pia kuna vitu vikitolewa kwenye mazingira fulani ni rushwa tu what connect between chadema and ccm...
Back
Top Bottom