Recent content by chimwemwe2

  1. C

    JamiiForums Tanzania Uhasama baada ya mapenzi kwisha chanzo chake ni nini?tafadhali tulijadili hili

    Jamani wana jm naomba leo tulijadili suala hili,inakuwaje watu mlikuwa wapenzi kwa muda mrefu,lakini inapotokea uhusiana kwisha, yule anaeachwa anaanza kutoa maneno mengi ya kashifa matusi, na kuleta visa. Tatizo linakuwa ni nini?je suala hili ni usitaabu kweli?nijuavyo mimi mwisho wa mapenzi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania mjane hana haki ya kupendwa tena?

    idimi umesema ukweli maana mimi nimefiwa na nina miaka 30 kwahiyo ni lazima nipendwe na wa miaka mingapi?watu waache mitazamo hasi juu ya wajane,sk hizi kila anayefiwa basi ameachwa na ukimwi jamani tubadili mitazamo.
  3. C

    JamiiForums Tanzania mjane hana haki ya kupendwa tena?

    afadhali umeliona hilo,kufiwa siyo mwisho wa maisha jaman kwa yule anayebaki wapeni moyo wa upendo waweze kusonga mbele.
  4. C

    JamiiForums Tanzania mjane hana haki ya kupendwa tena?

    Hi to all, napenda kuchukua nafasi hii kwenu kuomba ushauri juu ya sula la wanawake pindi wanapo ondokewe na waume zao mbona jamii inaangalia kwa mtazamo tofauti sana, tofauti na wanaume wanapofiwa na wake zao? Pili ni muda gani unafaa kwa mwanamke aliyefiwa na mume kuweza kuingia tena kwenye...
Back
Top Bottom