Recent content by chimulenga

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

    Kuna mwanamke Wa kiarab Ana masters ya computer science Na bado yuko nyumban kwa mumewe siku zote mwanamke hakuumbwa kufanya kazi yeye ni mama Wa kutunza watoto Na mumewe
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa wakiwa wanawafanyia mitihani wa degree na masters!!!!

    Tatizo siku hizi kigezo cha kupanda cheo ni VYETI Na sio ufanisi Wa kazi
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawasiliano ndio kigezo kikubwa kinachoonyesha kama kuna mapenzi au ndio yamejifia

    Unaweza ukatafutwa ukawa hupendwi vilevile watu wako kimkakati zaid siku hizi usiamini sana simu za Mara kwa Mara wala msg mkajaa katika mifumo ya watu.watu wako kazini wanafanya kaz akijulia Hali mara moja inatosha. Ndio maana kila siku mnalia lia kwa kuingia kwa pupa katika mitego.Alafu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Kachome penadul
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha Penina wa Goba, mrembo aliyeuawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa kama kuni

    Mashangazi yana raha yake ninalo limoja sema linawivu sana mana lishasema hatak tuachane kabisa yaani keshasema simu moja tu yuko gheto
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Mambo mengne tunayatafuta sis wenyewe tu asilimia kubwa wanaume ndio tunaofanya Wanawake kubadilika.usipojua thaman ya mkeo kuna wana nje watajua thaman ya mkeo.msome mkeo mjue njia zake anapenda nini!!!! NB Ndoa ni kwa wanaume waliokomaaa kiakili haswaa kama hujakomaaa kiakili huwez kuish Na...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Hayaja kukuta kuwa uyaone
  8. C

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    1:41
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    Kosa ambalo halisameheki ni kusaliti tu usirudie kosa kuendelea nae ukifanya makosa hayo utapigiwa mpaka basi ukiona mpaka umejua jua amefanya makusudi ujue kesha kuchoka hakuna shetan katika kucheat ni maamuz yake tu
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

    Wanawake ni waongo sana katika maneno yao 20 amini moja au usiamini kabisa
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Kwahyo kila anaenda against Na fikra zako ni polisi acha mawazo finyu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Itakuwa alieleta Hii mada yuko anahudumiwa Na Shemeji yake yeye kazi yake kupiga soga Na Dada yake tu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nakula ila Sipati choo msaada jamani

    Chukua maziwa fresh chemsha vizuri kisha yaache apoe weka katika friji yapate bard kidogo kisha kunywa utapata choo kizuri chap kwa haraka
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

    Nimempita huyu mwanamke 15yrs lakini Ana pigika haswa lishe muhimu sana achana Na junk food penda kula vyakula vya kustimulate mwili huoni mzee Wa 70 anaoa binti 25 Na binti anatulia kabisa
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

    Mwanamke yeyote alie zaa au kuolewa Na kuachika usitegemee atapoteza mapenz Na mumewe Wa kwanza big no ni rahis kurubuniana Na wakaendelea kulana wakikaa Na kuongea mke wangu kumbuka Zama zile...... Bas kumbekeni ndoa ni maagano Na ubani unachomwa hakuna anaeweza tenganisha hapo wataachana lakin...
Back
Top Bottom