Recent content by CHIMBULI WA CHIMBULI

  1. CHIMBULI WA CHIMBULI

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Mkuu huyu awekeze ndoto zake Sport Pesa hatopata muda wa kuingia ingia Jf Mara kwa Mara. Nadra sana kutabiri na kutokea.
  2. CHIMBULI WA CHIMBULI

    Ninavyofahamu UDSM hawawezi kutoa PhD ya mchongo labda hivyo vyuo vya Kata!

    Tru saying hakuna MTU hatokufa so tukumbuke kuwa wema
  3. CHIMBULI WA CHIMBULI

    Ninavyofahamu UDSM hawawezi kutoa PhD ya mchongo labda hivyo vyuo vya Kata!

    Sema kuna watu wajinga hujiskia sana wakati wanalipwa kupitia Kodi za wananchi
  4. CHIMBULI WA CHIMBULI

    Wadau nakusudia kubadili dini na kuwa Muislamu, naomba mwongozo

    Papuchi toka Zenji iliniforce kufuata dini yake lakini niligoma cz I don't and I won't believe in Islamic. The second religion brought by Muhammad. If you want to change your faith first, read between the line to know how far you run to into the best faith? Sio Gang'a likufanye ubadili imani...
  5. CHIMBULI WA CHIMBULI

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    KAMA UMEMALIZA NA KUNA SEHEMU ULISAHAU KUATTACH LET SAY DOCUMENT MOJA UNAFANYAJE NAPO MKUU
  6. CHIMBULI WA CHIMBULI

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    ikikubali kujiapload inajiandika kabisa au unajuaje mkuu kuwa tayari?
  7. CHIMBULI WA CHIMBULI

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    kwamba hii browser inaweza kuwa tatizo au tatizo mtandao tu
  8. CHIMBULI WA CHIMBULI

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    SIMU YANGU HAINA HUO UWEZO MIMI NATUMIA OPERA MINI BROWSER KWENYE LAPTOP SIKU YA TATU LEO KARIBU NIKATE TAMAA JAPO HAITAKIWI KUKATA TAMAA
  9. CHIMBULI WA CHIMBULI

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    MKUU KWENYE LAPTOP AU SIMU? MIMI ZAIDI YA DAKIKA 45 HATA KIMOJA HAKIJAKUBALI
Back
Top Bottom