Recent content by chimbilili

  1. chimbilili

    Charles Kimei (CRDB) jiuzulu, kashfa ya kontena, tiketi TFF, wanafunzi na ujambazi CRDB

    CRDB ni benki pekee ya wazawa iliyodhubutu kuvuka mipaka yake na kuwekeza nje ya Tanzania tumezoea kuona benki za kigeni tuu na pale unaposema ni risk kufungua matawi Burundi hakuna biashara yoyote duniani iliyokuwa na risk. Fanya uchunguzi vizuri ujue juu ya ukusanyaji mapato TRA kabla ya Crdb...
  2. chimbilili

    CRDB bank inafilisika?

    Share gani yaani unafananisha CRDB na NBC iliyonunuliwa na mkaburu? wakimataifa, nikiwa kama mzawa kujivunia benki yangu ya CRDB nami ni mmojawapo wa wamiliki wa benk unaponunua share nawe ni mmiliki hamjui nn maana ya share nenda kasome Economics urudi kuandika vitu vya uhakika usiwe...
  3. chimbilili

    CRDB bank inafilisika?

    Profit yao ni million 100? Naona hesabu hujui kabisa ingia kwenye mtando wao uone walipata Trillion ngapi faida kwa mwaka! Jile79
  4. chimbilili

    CRDB bank inafilisika?

    Mti wenye matunda mazuri ndio hutupiwa mawe CRDB ndio benk ya kipekee kuona wateja wanakaa ndani ya tawi kutumia QMS kwa wateja wake ni Benki pekee ya wazawa kujiendesha yenyewe. Call Center yao ni masaa 24/7 hayo usemayo sii kweli nilikuwa Afrika ya Kusini nikapiga simu saa tisa usiku na huduma...
Back
Top Bottom