Recent content by chimamii

  1. chimamii

    Nimeibiwa pesa zangu kwenye Kibubu na 'Chuma Ulete'

    Wakuu nina swali, Kuna jamaa yangu amenihadithia kuwa alikuwa anatunza pesa kwenye Kibubu kwa muda wa miezi kadhaa na kwa kipindi hicho alikuwa anatumbukiza noti za pesa na coins pia. Lakini cha ajabu alivyokuja kuvunja alikuta coins mbili tu na moja ya Tshs. 200 ina tobo katikati. Hivyo swali...
  2. chimamii

    Nipokeeni binti mrembo

    soon nakaleta, mkae mkao wa kula!! mnawe mikono lakini..
  3. chimamii

    Nipokeeni binti mrembo

    mbonaa makasiriko jomoni...
  4. chimamii

    Nipokeeni binti mrembo

    Nashukuru kwa ukaribisho wenu wanaJF, wale wakunitembeza majukwaani ndio naoga apa nivaee nitoke💃💃💃 na pia niko single atii
  5. chimamii

    Nipokeeni binti mrembo

    Habari zenu mabwana na mabibi, nimekuja jukwaani kushirikiana nanyi. Nikaribisheni basi kwa bashashaa!
Back
Top Bottom