Recent content by CHIMALAMILINDU

  1. C

    DOKEZO Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Jamani naomben msaada nimefika hatua ya kuandoka transfer request lakini Kila nokituma ombi inaniandikia error initiating transfer request msaada please
  2. C

    Ushauri kuhusu biotechnology

    Daaaa watu bhana wanasema biotechnology ya sua eti haina Issue hapo boss nimekuelewa vizuri sana mm ni mwalimu wa chemistry ninataka kwenda kusoma hiyo ya sua ili nije nifungue laboratory yangu
  3. C

    Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

    Wadau naombeni msaada nimekuja kuomba msaada wa mawazo kwani mwanzo yalinikuta kwenye bachelor Moja hivi haikua na ajira nikakimbilia diploma ndipo nilipo maliza nilikaa miaka miwili nikawa nimeajiriwa mwanzo niliamua mwenyewe bila kupata ushauri nikaangukia pua
  4. C

    Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

    Kwa hiyo nikasome diploma na hiii ya DIT na MUST bachelor of laboratory science and technology nayo huwezi kuwa lab technician?
  5. C

    Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

    Boss mi naitaji ushauri mi Toka nimeajiriwa Huwa naandaaga practical Hivyo nikaona ni kozi gani itakayo niwezesha niwe full lab technician ya miaka 3 nikaona hii ya BLS Kwa sababu Niko kwenye ajira naona itanifaa unajua boss wangu Kila kitu huanzia chini .Humu ndani Kuna wadau wanamawazo mazuri...
  6. C

    Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

    Ukisoma BLS degree unaweza kuwa school laboratory technician Kwa sisi walimu wa diploma
  7. C

    Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

    Je alioko kazini ni mwalimu diploma kozi hiii ya BLS unaweza kuwa lab technician kama ukisoma
  8. C

    Bachelor of Technology in Laboratory Science ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani?

    1.Bachelor of laboratory science and technology 2.Bachelor of biotechnology and laboratory science course nyingine zinazo husu laboratory mtanisaidia ila hizo ndio na prefer malengo yangu baadae niwe mtaalamu wa maabara zaidi DIP GPA 4.9 NA SIX ACEE Chemistry B,Biology C lakin O-level...
  9. C

    Bachelor of Technology in Laboratory Science ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani?

    Kama ww ni mwalimu kozi vp ni nzuri au haifai tupeane ushauri Kwa wale tunao taka kuongeza elimu
  10. C

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Habar za mda huuu wakuu naitaji msaada mi ni mwalimu naitaji kujiunga na DIT mwaka huuu bachelor of laboratory science and technology miaka 4 Kwa ambao hatujasoma diploma ya maabara nimefuatilia sijaelewa maelezo ya jumla ya ada Kwa tunaojilipia ili nijipange vizuri naombeni anae jua anielekeze
  11. C

    Bachelor of Technology in Laboratory Science ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani?

    Nimekuelewa sana boss wangu Mm ni mwalimu chem na bios nataka kua lab technician katika kada yangu nisome ipi kati ya hizi Bachelor of laboratory science and technology ipo DIT NA MUST au bachelor of biotechnology and labotory science ipo sua msaada wadau
Back
Top Bottom