Recent content by chilubi

  1. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

    Nimeweka maan gani na kitu umeandika mwenyewe? Uliuliza iweje KMKM wapelekwe bara wakati hawana shughuli bara lakini ukaendelea kusema kwa kuonesha kuwa Polisi na JWTZ ni sawa tu kupelekwa Zanzibar, sasa mimi nakuuliza je ni sawa Polisi na JWTZ kupelekwa Zanzibar kufanya mauaji? Au nikuulize...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kile kikao kilichopindisha utaratibu wa chama kumbe ni "Yuda" alijipanga, akashtukiwa na kupewa cha namba 2 ili kummaliza kabisa

    Chadema nao ndio wale wale waroho wa madaraka tu. Mimi mambo kama haya ndio huwa siwezi kukubali chama cha upinzani, wao ni zoa zoa tu na unafiki. Yani watu wakisikia au wakiona mwana CCM haziwivi na rais basi hao wanajiunga nae. Nashangaa naona watu wanamlilia polepole alipo, wakati wake...
  3. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

    Nimequote kutoka kwako, si ndio maana ukapata notification?
  4. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

    Hakujutia, kama unavomuona Mahita kwenye recent interview yake, na Mkapa ndio hivo hivo. Hawajutii na wala hawatojutia wakiwa Hai.
  5. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

    Kwa hio hawa uliowataja ndio wana jukumu la kufanya mauaji? kumaanisha kuwa ni sawa wao kuletwa Zanzibar kufanya mauaji?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama kweli Nchimbi ni msaliti kama Yuda, angeweza kuachiwa madaraka ya kuitawala nchi kwa zaidi ya siku tatu?

    Sielewi vyamani wanafanya vipi, kwanivMgombea wa urais si anachagua mwenyewe running mate wake mwenyewe au huwa anapigiwa kura ndani ya chama? Anyways my point ni hivi, Majaaliwa ulivokuwa ukimuona yupo active ndio vile vile unavomuona Mwigulu alivo active sasa ivi, sio kuwa eti Samia na Magu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama kweli Nchimbi ni msaliti kama Yuda, angeweza kuachiwa madaraka ya kuitawala nchi kwa zaidi ya siku tatu?

    Hakitegemei uhusiano baina ya hao wawili. Miaka nenda miaka rudi VP tunamuona kwenye sherehe tu za kukata utepe, yani yeye asubiri rais afe, ajiuzulu au awe nje ya nchi, lakini miaka yote tumekuwa tunaona Waziri Mkuu kuwa ndio mwenye pirika za kazi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama kweli Nchimbi ni msaliti kama Yuda, angeweza kuachiwa madaraka ya kuitawala nchi kwa zaidi ya siku tatu?

    Kama ni Nchimbi, basi je, sasa ivi si ndio wakati muafaka wa kufanya lile analotaka kufanya? Rais akiwa hayupo nchini, yeye ndio anaeshika usukani? Wakati ndio huu, na kama hajafanya kitu, basi huenda akawa mlengwa sio yeye ila yupo mwengine ama Simai ni muongo na ikawa kuna kundi limemtia chaka
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama kweli Nchimbi ni msaliti kama Yuda, angeweza kuachiwa madaraka ya kuitawala nchi kwa zaidi ya siku tatu?

    Kwani nani aliewaambia YUDA ni Nchimbi? au watu wanaforce tu jambo? Kwa description nilioisikia kwamba anajisifia kupendwa na Magufuli na kuwa baadae akatupwa uko na akawa anedna kanisani, mbona kama namuona Makonda? alipendwa na Magu, akafanya analolitaka, baadae tukaona yeye na Magu zikawa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naamini kwa dhati maudhi na chokochoko za sasa za Wa-Zanzibar ni kutaka kuwaudhi wa-Tanganyika ili muungano uvunjwe. Hatutauvunja Muungano ng'o!

    Tuambie tangu tulivoungana fedha za mikopo kiasi gani zilitumika kwa ajili ya Tanganyika na kiasi gani zimetumika kwa ajili ya Zanzibar? Je, imekuuma kuona Zanzibar inaimarisha/kujenga miundombinu? hukutaka kuona Zanzibar ikijengwa ulitaka kuiona ikididimia kama ilivyokuwa ikididimizwa na...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kama kweli mnajiamini mguseni Mtanganyika Dr. Emanuel Nchimbi

    Mnachezewa kisiasa tu :D Nyote mmeamini YUDA anaezungumziwa ni Nchimbi, mkiulizwa sababu ni ipi hamna, basi tu mnapenda kujitengezea furaha. Hivi mna akili kweli? Umekaa hapo unamshadidia kiongozi ambae yumo katika serikali ambayo wewe huitambui na unaiita ya haramu, anakula mshahara kupitia...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kupindua utawala Iran sio lengo la Vita lakini kama Iran itaendelea kudhuru raia Israel kuvuka mistari nyekundu, chaguzi zote zitakuwa mezani

    Israel inataka leo utawala uliopo uanguke na irudi familia ya Shah kurudisha ufalme. Netanyahau kashawaambia Wairan kuwa wakati wao ndio huu wa “kujikomboa” wao wanadhoofisha serikali, wairan waje juu kupindua. Serikali ya Iran ina wasaliti wengi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

    Na nyie wenye maisha ya kujenga hoja, mnatumwa na hao hao. kuna faida gani ya kujisifia kuwa unajenga hoja kisa tu dini yako ilhali unaabudu mtu?
  14. C

    JamiiForums Tanzania BMW 3 Series vs Crown Athlete

    Hizo ni performance cars unazozungumzia wewe, hazihesabiwi kuwa ni flagship ya brand. Kwenye huo ukanda unaozungumza, kuna Lexus LFA, hii ni Halo car, limited in numbers and out of all Lexus' hii ndio the most expensive Lexus and high performance car, but still, sio flagship. Kwa makampuni...
Back
Top Bottom