Mwiba vipi rafiki? kama una ujumbe wa uhakika tupo habari. JF ni sehemu ya kupashana habari wewe unaficha! Sema tukupe mji gani ili utegue hicho kitendawili?
Malaria sugu, hongera! misafara yote hiyo! Zenji, dodoma kwa kipindi kifupi hivyo. Wewe ni mzalendo kweli kweli, lazima kufuatilia yanayotendeka kwa faida ya Taifa lako. Endelea kutujuza rafiki. Keep it up!
BROTHER PASCO LOOH!!! unanitisha ndugu yangu, hata hivyo najifunza. Kumbe sikutakiwa kulizungumza hili ni mapema mno? Lakini kama utakuwa makini mimi nimeuliza swali tu.
thank you mganyizi kwa kunipa moyo kwani nilishaanza kuogopa kuwa huenda nimekurupuka pia sina haki ya ku share yale niliyoyaona.
Naamini jf ipo kwa ajili ya kujuzana. Najifunza pia. Nimeshakaribia.
Mzee wetu Mhe. FREDERICK SUMAYE atueleze nini kinaendelea kati yake na viongozi wakuu wa CHADEMA? Ni juzi tu tarehe 16 Juni majira ya sa 3.15 asubuhi maeneo ya Protea Hoteli iliyopo Oysterbay nilimuona kwa MACHO YANGU mheshimiwa huyu akiwa kwenye gari yake aina ya Landcruiser namba T634 AKN...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.