Recent content by Chilombilombi

  1. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya walalamika kuhusu uteuzi wa Wabunge wa viti maalum

    Yarab chama changu hata segerea yule aliemuhujumu mtatiro ndo kapewa viti maalum aibu sana.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Rukwa Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

    Hata huku segerea yule aliemuhujumu mtatiro kapewa vit maalum na hakutoa mchango wowote kipindi cha kampen upuuzi tupu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Rukwa Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

    Hata huku segerea yule aliemuhujumu mtatiro kapewa vit maalum na hakutoa mchango wowote kipindi cha kampen upuuzi tupu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Rukwa Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

    Kiukweli chama makao makuu kinayumba hata huku segerea yule aliemuhujumu mtatiro kapewa viti maalum.
  5. C

    JamiiForums Tanzania WanaCCM tuheshimiwe kwenye magroup Whatsapp

    Kwangu ccm ni kama shetani kwani matatizo yote ya nchi wao ndo chanzo.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Majimbo haya UKAWA watashinda mapemaa

    Ilala asanali yuko vizuri tu mchana wa leo aliwekwa ndani msimbazi polisi kisa anashangiliwa kila kona ya mtaa zungu hoi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya uchaguzi Mbarali

    Kila mmoja awe mlinzi kwa wakati wake na eneo lake.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Maabadilikooooooooo loowasaaaaaaaaaaaa dr slaa na zito mnajisikiaje?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ubunge Jimbo la Serengeti

    Kaka huwezi pata msaada make hata magufuli kachanganyikiwampaka wanaamsha chopa nne acha jimbo liende ukawa.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Zitto Kabwe?

    Huwezi kumsikia tena hali ni mbaya jimboni kwake kwani kura yeye kura anagawana na mgombea wa ccm za ukawa hazigawanyiki
  11. C

    JamiiForums Tanzania Marudio ya ITV ya mkutano wa UKAWA Mwanza

    Inaboa kwakweli sijajua itv wana tatizo nini
  12. C

    JamiiForums Tanzania Membe akiri kuwa Magufuli ni dhaifu (ni sawa na timu dhaifu)

    Kurudi mtama anashindwa labda akakae libya kwa rafiki yake marehemu.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Na wakiweka mdahalo wa wagombea itabidi dr slaa ashike nafasi yake kwa muda.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mwakyembe kwa Hoja za Lowassa Alipojitetea Mara ya Kwanza (Redux)

    Ccm wakimsimamisha lowasa ukawa ikulu kabla ya misa yakwanza haijaisha ccm chalii.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kuliko tukubali sheria mpya ya habari tutasimamisha Bunge

    Wacha watiwe uchizi na mungu kwani ndo mwisho wao.
Back
Top Bottom