Recent content by Chilojnr

  1. Chilojnr

    Wakuu wa vita kuua watu kuanzia 300

    Miongoni mwa wafalme waliokuwa na nguvu sana kipindi hicho alikuwa mfalme Daudi. Nguvu kubwa na alikuwa mzee wa totozi sana lakini pamoja na hayo mungu alimpenda sana, kwa sababu gani? Ni kwa sababu alikuwa mnyenyekevu mbele zake. Ndiyo! Mungu hupenda watu wa aina hii, yaani unapokosea, ulijue...
  2. Chilojnr

    ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

    SEHEMU YA 02 Enoko anaendelea kusema kwamba malaika wale wawili wakamchukua na kumpeleka kwenye mbingu ya pili na huko akakutana na haya mambo. Kwanza kulikuwa na giza kubwa, giza ambalo duniani hakuna lakini pia akawaona malaika wakiwa wamening’inizwa kwa staili ya kunyongwa, kufungwa na...
  3. Chilojnr

    ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

    Ukisoma kwenye Biblia, ni watu wawili tu ndiyo ambao hawakuwahi kuonja mauti, nao ni Nabii Eliya na Enoko. Mungu hakutaka kuwaua, aliwatwaa na kuwapeleka mbinguni. Sasa kama ilivyo kwa manabii, wafalme wa zamani na watumishi wengine kuandika vitabu vyao, basi naye Enoko aliandika kitabu chake...
  4. Chilojnr

    Mpango wa Kummaliza Saddam Hussein

    Itaendelea.
  5. Chilojnr

    Mpango wa Kummaliza Saddam Hussein

    Januari mwaka 2001 mapema kabisa kabla ya George Bush kuapishwa na kuwa rais wa Marekani, makamu wa rais, Bwana Dick Cheney alimtumia ujumbe waziri wa ulinzi, William S. Cohen ambaye aliwekwa hapo kupitia Chama cha Republic ambaye kwa wakati huo alikuwa akifanya kazi na Rais Bill Clinton...
  6. Chilojnr

    Historia ya ngome kubwa ya Ugiriki

    SEHEMU YA PILI Achaea ni sehemu moja maarufu sana iliyokuwepo tangu kipindi cha nyuma. Hii sehemu ama mji inapatikana sehemu mbili, ya kwanza ni huko milimani upande wa Kaskazini ilipojulikana kama Peloponnes na pia ilipatikana katika eneo dogo lililoitwa Thessaly. Sasa hapo Achaea kulikuwa na...
  7. Chilojnr

    Historia ya ngome kubwa ya Ugiriki

    Sawa mkuu nimekuelewa
  8. Chilojnr

    Historia ya ngome kubwa ya Ugiriki

    Kabisa kaka....upo sahihi
  9. Chilojnr

    Historia ya ngome kubwa ya Ugiriki

    Najua hili somo litakuwa refu sana na lisiweze kuisha hata mwaka huu. Nitajitahidi sana kuwaandikia kuhusu Wagiriki, walipoanzia mpaka sasa hivi, ni kwa namna gani waliwahi kuitawala dunia, moja ya tawala iliyokuwa na nguvu sana ukiachana na China, Warumi na hata Wamarekani ambao tunao sasa...
  10. Chilojnr

    Kabla ya kuangalia muvi ama series, pitia humu ujue inahusu nini

    BEFORE VALENTINE Ni mambo ya Valentine. Muvi inaonyesha watu sita tofauti waliokuwa wakifanya kazi saluni ya kike. Kila mtu ametoka kwake akiwa na mambo yake. Mmoja ana mume mzee lakini kila siku amekuwa akiwaficha wenzake, hakuwahi kuwaambia kwamba mumewe na mzee na aliolewa naye kwa kuwa...
  11. Chilojnr

    Kabla ya kuangalia muvi ama series, pitia humu ujue inahusu nini

    Mchizi ni developer mmoja mkali sana wa kutengeneza magames. Kutokana na ubize mwingi, hata mambo ya mademu hana kabisa. Kazi yake kuingia kwenye sites za malaya na kumchagua mmoja, amwangalie na kujichua. Jirani yake pia kuna demu flani matata sana. Huyu demu mama yake anasaidia watoto yatima...
  12. Chilojnr

    Kabla ya kuangalia muvi ama series, pitia humu ujue inahusu nini

    HOUSE PARTY Washikaji maisha mabovu tu, wameajiriwa na kampuni fulani ya kufanya usafi. Sasa bwana siku moja wakapelekwa kwenye nyumba fulani ya kifahari kufanya usafi. Sasa si unajua washikaji wametoka Tandale, kufika mule, wanashangaa kila kitu ni cha kifahari. Mmojawapo kwenye kuangalia...
  13. Chilojnr

    Kabla ya kuangalia muvi ama series, pitia humu ujue inahusu nini

    THE PLANE Ndege inaanza safari yake kuondoka nchini Marekani. Sasa bhana humo ndani ya ndege kuna mwamba aliingizwa, alikuwa mtuhumiwa aliyekuwa akisafirishwa, na alitakiwa kufungwa miaka 15. Sasa safari ikaanza. Si unajua anga ilivyo. Anga likachafuka na marubani wakaona njia pekee ya...
  14. Chilojnr

    Simulizi: Safari Yangu Kuzimu

    Shunnie naomba uache tabia ya kuiba hadithi zangu na kuposti huku. Naomba tu uache kabla hatujafika mbali dada angu.
Back
Top Bottom