Recent content by Chilisosi

  1. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Heri ya Christmas na mwaka mpya

    Asante sana KC TEAM Na wewe pia
  2. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Magufuli kutangaza uraia pacha akifunga kongamano la siku mbili la diaspora hapa Zanzibar!

    Kama ni kweli siku hiyo nitakunywa ulanzi debe zima
  3. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Wee dogo huna adabu Yaani hujanitaja na mimi?
  4. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alipaswa awe Malta leo hii!

    Hahaaaaaa
  5. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    hIVI WEWE NYUMBU, PAMOJA NA MI THREAD YOOOTE UANYOANZISHAGA HUMU, INAKUAJE HATA UKATIBU KATA HUNA?
  6. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Dr. Slaa apewe uwaziri wa mambo ya ndani ili atimize ndoto yake ya kumaliza ufisadi

    Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, hakuna mtu alieshikilia bango ufisadi kwa nguvu zote zaidi ya Dr Slaa. Kwa kua Rais wetu ajae Dr Magufuli kasema anataka mawaziri wachapa kazi kama yeye, basi si vibaya akamvuta Dr Slaa kwenye baraza lake ili aongeze nguvu Dr Slaa ni zaidi ya alivyokua Mrema enzi...
  7. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo afariki dunia

    R.I.P Mheshimiwa
  8. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Sura za makamanda leo baada ya mikutano ya TINGATINGA Moshi na Arusha jana

    Ndugu zanguni Leo nimebahatika kupata muonekano wa makamanda wetu wa ukawa
  9. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Mbunge mstaafu Lema Salaam, Zile picha za ambulance ulizifikisha Arusha?

    Tukumbushane tu, kama hizi picha uliisha wakabidhi wananchi wa Arusha ...
  10. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Wameondoka hawa CHADEMA, wewe nani mpaka Mbowe akuone wa maana?

    Unazani alikua nccr?
  11. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Wameondoka hawa CHADEMA, wewe nani mpaka Mbowe akuone wa maana?

    Mimi ni mzazi wako, najuta kuzaa nyumbu
  12. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Wameondoka hawa CHADEMA, wewe nani mpaka Mbowe akuone wa maana?

    Kaondoka Chris Lukosi - Mwenyekiti Chadema UK Kaondoka Zitto - Naibu Katibu Mkuu Chadema. Kaondoka Dr Dr. Wilbroad Slaa - Katibu Mkuu Chadema. Kaondoka Said Arfi - Makamu Mwenyekiti Chadema Kaondoka Prof Kitila Mkumbo Kaondoka Mzee Wasira Na wengine weeengi walioshika nafasi za juu ndani ya...
  13. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania UPINZANI na CCM sote ni ndugu, tatizo ni Lowassa, Mbowe na vibara wao, TUWAKATE!

    Ndugu zanguni Siku hizi kumekua na chuki zikienezwa kati ya wanachama wa CCM na wale wa upinzani/ukawa. Hili sio jambo jema na ni lazima tulikemee Tanzania ni nchi yetu na sisi sote ni ya kwetu, tusikubali kutumiwa na hawa mafisadi wanaotaka kuchukua dola ili wajitajirishe wao na familia zao...
  14. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Huyo nae ni wa kumuongelea?
  15. Chilisosi

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    Wao wanazunguka dar tu Sijui kwa sababu kuna vyoo vingi?
Back
Top Bottom