Recent content by chilembah

  1. chilembah

    Kufanya biashara ya vinywaji au nafaka Kisesa Mwanza

    Kwanza kisesa pako nje ya mji kidogo na hapajachangamka sana lakini kuna makazi mengi hivyo kufanya baadhi ya biashara kustawi kama za ujenzi(matofali na hardware). Biashara ya jumla hutoka popote pale kikubwa ni mtaji uwe thabiti usikose vitu vidogo vidogo. Hofu yangu ni biashara ya nafaka...
  2. chilembah

    Kuhusu mkopo wa nmb

    Nahisi NMB ni moja ya benki inayosapoti sana wafanyabiashara hasa wadogo nimeona hilo kwenye tamasha moja wakitangaza nyumba ikifika usawa wa renter inakuwa dhamana yako haiitaji kuisha. Nahisi kama vyote unavyo ni veyema kuwatembelea kwenye tawi lao lolote.
  3. chilembah

    Mwenye line ya Uwakala M-PESA naomba anisaidie

    Kwa voda M-Pesa mara ya mwisho niliuliza walisema wamesitisha zoezi la kutoa hizo line za M Pesa sijajua sasa kwa sasa lakini ni vyema kutembelea maduka yao.
  4. chilembah

    Mwenye line ya Uwakala M-PESA naomba anisaidie

    Kwa line za uwakala za Tigo Pesa najua kwenye maduka yao hawatoi maana wanawatu wanaita super agent kitu kama hicho: so kwa mkoa wa kinondoni najua wapo pale sinza mori big bon kuna ghorofa floor ya kwanza na pale sio kwamba wanaziuaza bali uwe na mtaaji wa kuanzia ambao ni 500,000/- pamoja na...
  5. chilembah

    Je, unafahamu maana ya Hisa na Authorised Share Capital?

    Nimependa, kwanza umeonesha competence kubwa alafu ukatukaribisha hii ni nzuri sana. Maswala ya kampuni yana mambo mengi sana ila na leo nimeongeza kitu kidogo.
  6. chilembah

    Je, ni Broker gani mzuri kumtumia DSE?

    Nitashukuru kama ukinipa namba zao zaidi!!
  7. chilembah

    Je, ni Broker gani mzuri kumtumia DSE?

    Nipo kwenye ngazi za kwanza za kujisajili lakini lengo kuu ni kununua hisa.
  8. chilembah

    Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

    Sipotezi muda tena na asanteni sana mwanzo wa mwaka huu ningekula pigo kubwa sana.
  9. chilembah

    Je, ni Broker gani mzuri kumtumia DSE?

    Habari wadau, Naombeni ushauri na elimu juu ya Brokers wa DSE. • Je, ni vigezo gani naweza kutumia kutambua ubora wa Broker. • Kama uliwahi kushiriki katika soko la DSE je, ulitumia Broker gani na kwanini ulimchagua huyo Broker. Natanguliza Shukrani. Karibuni.
  10. chilembah

    Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

    Hii ni kubwa sana kwangu imenifungua sana maana hawa jamaa wanavyojitangaza ni balaa kama ni marketing sijui ndio sales basi balaa[emoji1487][emoji1487] ila back to operations seems there are alot of problmes. Mwaka huu wakanishawishi na mtindo wao wa kilimo cha karatasi kuhusu soya ukiwekeza...
  11. chilembah

    Biashara ya Vanilla, Tshs 850,000 kwa kilo; Kuna nini nyuma ya tangazo hili?

    Sijui nani anatakiwa kusikia hili lakini hichi ndicho ninachojua juu ya soko la zao la vanilla. Bado bei ya zao hili ni ndogo sana kulingana na watu wanavyolipaisha; japo ni zao moja wapo lenye bei nzuri kulingana na mazao mengine nchini. Watu huchanganya bei za zao(fresh vanilla beans) na bei...
Back
Top Bottom