Kwanini Kila rafu ya jk huwa inaleta matokeo hasi sana , namkumbuka 2015 alileta figisu hizo alafu akiingia mtu mwingine ikulu Sasa siijui shida huwa inakuwa wapi ? Anyway ngoja tuendeles kula mtori nyama tutazikuta chini.
kwa nilivyomuelewa humphrey polepole kwa namna ambavyo alijaribu kuelezea, alieleza walau kwa namna ya kutosisitiza sana ya kwamba kuna baadhi ya watu ambao kimsingi kwa desturi za chama cha mapinduzi hawapaswi kuwa marais tena akiwemo waziri mkuu makamu wa rais kwa sababu wao wamekwisha fanya...
Haya ndo mambo ya hovyo Kwa walipa Kodi , yaani unalipwa Kodi alafu unazingua kwenye huduma kana kwamba huoni manufaa ya kwanini huna uhalali wa kuendelea kukalia ofisi za uma kama UNAWEZA kufuata matajwa ya tumbo lako
Imetokea nini ? Kwani lisu amefanya kosa Gani ? Sasa ukitaka kujijitetea au kuelekeza shutma sehemu Fulani , lazma uwe na hakika ya kwamba huko unakoelekeza shutuma ni sahihi , Sasa lisu yupo gerezani wewe unamwandika humu wa nini wewe nenda wandikie hao jamaa wa maria space na siyo lisu hiyo ni...
Ushahidi please , mbona walio lelewa miaka mingi ndiyo wameifikisha nchi hapa ilipo na kuuza Mali za nchi yetu Kwa miaka mingi Kwa wageni , mm nadhani hapa siyo kuzaliwa au kutoka ukoo wa ccm hapa msingi je katika wakati wake aliweza kufanya nini Cha maana katika chama au kwenye ubaloz
Siyo upepo wa online kwani hujawahi kusikia kutekwa Kwa kina mdude au soka au kibao , aaaaaaah acha unafiki wewe ugali uwkiuendekeza saana unukupunguzia heshma kaka. kama una miaka arubaini juwa umebakiz ishirini na sababa tuu Kwa ahadi za Mungu mwenyewe mwili hauna kazi Tena huo kaka , una...
Basi kama hiyo ndiyo shida si ni kikwete apunzike tuu hata akialikwa , kwani shida iko wapi? Ok. Basi kikwete aendelee kushiriki lakini atashriki mpaka lini? Sawa bado anatamani madaraka lakini je kwani katiba inamkataza kugombea Tena ikiwa katiba itabadilika? Kama hivyo ndivyo basi katiba...
Feform hazikwepeki kama amri ya kifo Kwa mustakabali mwema wa nchi yetu, watu wanovunja Sheria wanapata uhalali wapi wa kuwawajibisha wengine kisheria? Huu ni unyama usio kuwa na kumbukumbu ya kesho yetu
Shukrani mkuu na mm nakutangazia neema maishani mwako , mungu akuongezee uzidi kufanna maishani uyafaidi matunda ya nchi ambayo Bwana alikuweka humo , shida ,magonjwa njaa na taabu vikawe mbali na familia yako , Kwa maana umejitolea kuwa kumbusha Wana wa mungu wapasayo kuya tenda ili nao wafaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.