Recent content by Chikwakala AA

  1. C

    JamiiForums Tanzania President Samia warns foreign diplomats: You can’t tell me what to do, we know what to do!

    This is the best bews I have seen from my country.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

    Nashauri mpeleke hospitali, madaktari wa afya ya akili wanaweza kuwa na msaada kwake.
  3. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara ya kuuza Matumaini

    Andiko lingine kuu kutoka kwa mastermind Dizasta, safi sana! Serikali inasema haina dini au haihusiani a mambo ya imani, lakini cha ajabu watu wanaounda serikali muda wote wapo tayari kuweka wazi na kuhalalisha imani na matumaini yao ya kidini kwa umma, hata kama wapo kwenye majukwaa ambapo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Waraka wa Wanyama kwa Binadamu

  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Waraka wa Wanyama kwa Binadamu

    Salamu! pongezi sana kwako Dizasta kwa uandishi huu makini uliojitofautisha! uandishi wako umewasilisha mawazo muhimu sana kwa ustadi wa hali ya juu, pia andiko limepambwa na lugha tamu sana, maana nimejifunza misamiati mipya ya kiswahili hapa. Hili andiko lisipochukua nafasi ya kwanza ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uvuvi haramu, athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi haramu ziwa Victoria

    Nimeamua kuandika kuhusu swala la uvuvi haramu hapa nchini hasa nikiangazia ziwa Victoria Kwa sababu nina uzoefu mzuri kwenye shughuli za uvuvi. Nitaanza kwa kueleza maana uvuvi haramu na hali ya uvuvi haramu hapa nchini (hasa ziwa Victoria), athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi...
Back
Top Bottom