Recent content by Chikuvi2021

  1. C

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza kutekeleza hoja ya CAG ya kulipa fidia wakazi wa Kipunguni kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    -Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya viwanja vya Tanzania 26 February 2025 aliitisha Mkutano na waandishi wa habari na kutangaza kuwa zoezi la kulipa fidia kwa wakazi wa kipunguni litaanza Machi 2025. -Na jumla ya 143.6 billion zitalipwa kutoka shs7.7 billion ambazo wangelipwa kwa mujibu tathimini ya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la 2% ya Pensheni kwa wastaafu ni kejeli ya karne

    Waziri Ridhawan Kikwete,tunaomba ufafanuzi kwa nini wastaafu wa sekta binafsi na watumishi wa Serikali wa operational service ambao walikuwa wanachangia mfuko wa NSSF hawakulipwa nyongeza ya 2% ya pension zao kama ulivyolipwa wenzao wa PSSSF. Michango ya watumishi wa umma na sekta binafsi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la 2% ya Pensheni kwa wastaafu ni kejeli ya karne

    Wastaafu wa mfuko wa NSSF hawakulipwa nyongeza ya 2% mwezi January 2025 kama bungee na Serikali walivyotangaza.
  4. C

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar es Salaam: Vyama 14 vya Siasa vyadai kuridhishwa na matokeo ya Uchaguzi

    Vyama hivyo vilisimamisha wagombea wao kwenye uchaguzi huu na vimepata viti vingapi.Au walikuwa waangalizi kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
  5. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla amkaribisha Lissu CCM, ajibu kuna nini mpaka ahamie huko?

    Kumbe kuna vita vya nafasi au vyeo, siyo uzalendo na utetezi wa wananchi.Wanagombea fito wakati wanajenga nyumba moja. Kama wanaokosa vyeo wanahama upinzani, kwenda chama tawala.Kuna siku utarudi mfumo wa chama kimoja.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Huenda TANAPA & NCAA zikazikwa kama Viwanda vilivyozikwa Tanganyika

    Wenye dhamana na Mamlaka husika angalieni kama taarifa hizi Zina ukweli,kwa maana TRA na Tanapa na NCAA zote ni taasisi za Serikali.TRA Inakusanya Kodi kwa wafanya biashara na TANAPA na NCAA zipo chini ya Msajili wa Hazina na zinatoa gawio kwa Serikali
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi TLS ulikuwa kati ya Sheria na utulivu wa nchi

    Wagombea Uraisi wa TLS uchaguzi umemalizika,tuvunje makundi jengeni taasisi yenu Hakuna haja ya kugombea fito wakati mnajenga nyumba moja.
  8. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba Mbunge wa Bumbuli (CCM), Bumbuli wanasema hivi

    Atapita kwa goli la mkono,wagombea wengine fomu zao hazitapokelewa au zikipokelewa zitaharibiwa kwa kuwekewa vema vyumba vyote kwa maelezo hawajui kusoma au hawakujaza vizuri
  9. C

    JamiiForums Tanzania Treni zote za SGR Kupewa majina ya Viongozi

    Huyo bwana Mkubwa ni Professor wa nini? Kuna siku wataamua hata ndege za ATCL na mabasi ya mwendo Kasi yatapewa majina ya viongozi walioasisi
  10. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Hawa mawaziri wakuu wastaafu,kuna mmoja atachaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
  11. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

    Mahakama ndiyo Mhimili wenye mamlaka ya kutafusiri Sheria zinazotungwa na bunge au Serikali na kuagiza ipasavyo,kama zinakinzana na Katiba ya nchi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi,amhifadhi na amlinde za maadui wa ndani na nje ya nchi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ndiye aliyefichua Viongozi kuwekewa Sumu alisema hata yeye na Mfugale yalishawakuta!

    Nadhani alikuwa Dr Mwakyembe siyo Mfugale
  14. C

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

    Dunia duara,huwezi kujua kesho Nape atakuwa nani. Dereva alipaswa kumrejesha nyumbani kwake salama.na ku -sign- off
Back
Top Bottom