Recent content by chikobs3

  1. C

    Maisha ya chuo yamenishinda, sina pesa

    ni mwaka wa 4 sasa npo chuo na sina PC wala SMARTPHONE. ndugu chuo c lazma uwe na PC japo ni muhmu kuwa nayo. komaa ipo cku utafurah
  2. C

    Je,nani wanastahili mikopo

    mbona w2 kibao waliomaliza miaka hata m5 nyuma wamepata?
  3. C

    Kwa ratiba hii ya masomo vyuoni, Ijumaa hakuna kusali

    jaribuni kumjibu kwa kumsaidia na si kuleta kejeli na lugha mbaya. mimi nimwambie 2 huyo ndugu kwamba maisha ya chuo changamoto ni nying sana pia hawajali dini ya m2 yeyote. so jtahd up to your level best but usitegemee ratba kubadiliswa
  4. C

    Msemo wa 'Hapa Kazi Tu' unatumiwa vibaya Jukwaa la Elimu

    aisee ni kweli watu wapunguze masihara
Back
Top Bottom