Mkuu acha kupotosha watu..
Me mwenyewe ni certified quality controller wa raw cashew nuts swala la wataalamu kutokuwepo kwenye maghala ya ushirika nitakupinga kwa hoja na wala si kwa kutumia misulo.
Acha kupotosha muungwana akivuliwa nguo huchutama.
Ilikuwa ni busara tu kukubali kuwa msimu...
Kweli nyani haoni makalio yake, Mangula yupo toka utawala wa Mwinyi, mkaona hafai kitu kwenye utawala wa Kiwete... Mambo yalivyowachachia mumemrudisha, hii ngoma nzito sio kila mwenye kibwaya anaweza kuicheza. Weka watu makini ili Maccm yahanye. Mtapata ugonjwa wa kiwewe sana kuhusu CHADEMA...
mbona hata kuandika kwenyewe ni shida? Hakuna alama za huandishi muundo hauna upatanisho, CCM sina hamu nayo, njooni mtoe Div 5 zenu huku jukwaan hatuztaki
kwani simiyu iko wapi paka shume wewe? Mijitu mingine imekaa kushabikia tu hata mambo yenye tija yanapingwa, Lumumba inawaharibu sana vijana wenzetu. Mawazo na fikira zenu vimegandishwa kama theluji, bado kutoa tiii...GOOO!
Asante Mh. Lema, kuna shahiri moja hivi linaitwa "Horrow heads" kwa maelezo ya hilo shairi linareflect kwa viongozi wa CCM, hawatumii maarifa wala hawajisumbui kuzishughulisha bongo zao, wamejawa kiburi na jeuri na kujiona wao ni kila kitu ndani ya taifa hili. Ila kaka Lema umesema kuwa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.