Recent content by chikara

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Yupo tayari kuachana na mumewe ili arudiane na mimi

    Naunga Mkono andishi lako,hao watoto wamekuwa na malezi ya hovyo....vimependa sana kufungua zipu! Huwa havichelewi kukimbia mimba
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Yupo tayari kuachana na mumewe ili arudiane na mimi

    Dudukila mimi CHIKARA naunga mkono hoja yako pia nampongeza mama kizaa chema kwa malezi bora.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    ..........kaka tenda na mafanya maamuzi ambayo nafsi yako itabaki salama.
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa ni la nani?

    Mdau wa MMU, Ni imani yangu umeyaanza vyema mapumziko marefu ya mwishoni mwa wiki. Ninakuja kwenu kuomba ushauri kwa tatizo linalo nikabili. Mnamo wiki iliyopita niliamua kwenda kutembea mazingira ya nje ya nyumbani kwangu na kupigiwa simu na dada mmoja ambae tunafanya kazi kampuni za mtu moja...
Back
Top Bottom