..Ushauri!!! haya mambo ya kutumia Askali na nguvu kubwa Sana kwa vitu vidogo ambavyo vinazungumzika lkn siyo mazungumzo ya One side yanazidi kujenga chuki kati ya sisi Askali na Raia,Serikali wasitumie fedha ya mlipa kodi kwa kuzidi kuchonganisha wananchi na Jeshi,hii chuki haitaishia kwa Jeshi...
...Watanzania wengi Hamjui hali halisi iliyokuwa Mtwara,Tatizo la Mtwara siyo Gas pekee ni Njaa ndiyo inafanya watu kudai Gas isiende dar mpaka zile Ahadi zilizo tolewa na Serikali zikamilike kama vile ajira kwa Watanzania,Hapa Mtwara kuna tatizo la Taarifa Potofu toka kwa Baadhi ya Viongozi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.