Recent content by chikaka1966

  1. C

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe na mhariri Mwananchi muwaombe radhi wakazi wa mkoa wa Mara

    Huyu Edo nadhani ana chuki binafsi na watu wa mkoa wa Mara. Namwona kuwa mwandishi asiye na upeo! Maovu yanayotendeka mkoa wa Mara yanatendeka pia mikoa mingine hapa nchini na hata nje ya mipaka ya nchi yetu, tena kwa kiasi cha kutisha kuliko hayo ya Mara. Kwa kuhamaaisha watu wasitembelee au...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    Jaribu tena, bila shaka utaweza kujihudumia.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    Hayo ni matatizo ya kawaida tu ambayo hata kwa benki zingine yanawezatokea.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    Mbona Benki ya Posta ni mojawapo ya benki bora hapa nchini kwa sasa!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Viwanja na nyumba Makongo juu na Goba!

  6. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Shuka nzuri mtumba grade 1

    Mashuka ya mtumba hayo
Back
Top Bottom