Recent content by Chigurh

  1. Chigurh

    The Tanzania Files: Mnemba, Transit Routes, and the Epstein Shadow

    What a load of horse crap. Lol. You say Tanzania is implicated in the Epstein saga, yet you offer no critical mention other than a few suggestions here and there. So what if it was mentioned in the files? Epstein mentioned days of the week, should we change them as well? We are irrelevant in...
  2. Chigurh

    Mafwele ni nani hasa? Mkono wa sheria unamwogopa?

    Sio Kwamba anaogopwa na Serikali. Huyu ndo enforcer wa mama mtaani. Ndo maana hakuna mahakama au chombo cha sheria kitakachomgusa kwa sasa. Toa protection ya mama, anabaki raia kama raia wengine.
  3. Chigurh

    Maisha ya Jela Tanzania

    Habari zenu Mara nyingi hua nasikiliza story mbalimbali za maisha ya jela nchi tofauti tofauti. Ubakaji wanaume kwa wanaume, madawa ya kulevya, ukatili, nk ila hua siskii sana story za maisha ya Jela Tanzania. Story halisi za watu walio-onja maisha ya jela kwa muda mfupi au miaka. Iwapo una...
  4. Chigurh

    Ubaguzi barani Asia ni mkubwa kuliko Ulaya

    Asia hapafai. Bora wazungu mara mia. Asia watakupiga mawe ufe kwa vile tu we ni mweusi
  5. Chigurh

    Kiswahili ni lugha yenye vikwazo sana

    Ni kituko, hua tunachekwa sana, na achievements huko nje ni za kuhesabu na mkono mmoja
  6. Chigurh

    Kiswahili ni lugha yenye vikwazo sana

    Nimekuelewa unachosema. Hata mimi nafahamu haya maneno yapo, ni kwamba tu siyajui. ila wewe kitu unashindwa kuelewa ni kwamba, haya maneno hayafahamiki karibu na kila mtu. Ndo maana nkasema, English ina advantage ya kwamba, maneno technical na complex, yako integrated katika lugha ya kila...
  7. Chigurh

    Kiswahili ni lugha yenye vikwazo sana

    Hilo sikatai kabisa. ila ni idadi gani ya watanzania wanajua hayo maneno pia? Ishu sio mimi tu kutokujua. Ishu ni karibu kila unaekutana nae hajui. In that case, lugha imefeli, maana point ya lugha ni kuwasiliana na kufikisha maana kwa yoyote yule.
  8. Chigurh

    Kiswahili ni lugha yenye vikwazo sana

    Najua wengi wenu hapa ni wazalendo hivyo itakua ngumu kwenu kukubali hili ntakalosema. Kiswahili ni lugha limiting sana. Ndio, katika maisha yakawaida ya kila siku, haina shida. Leta maji, leta kikombe, nenda pale, nipe hiyo. Hapo hakuna shida, na ni vizuri nchi nzima inaongea kwa kiswahili...
  9. Chigurh

    Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Zanzibar ubaguzi mwingi, Sharia law ipo sana. Mara nyingi nchi zetu za ki Afrika haziendeshwi na katiba, ipo tu imeandikwa, ila tamaduni ndo zinazo endesha nchi. Na kwa tamaduni nlizoshuhudia Zanzibar zinazolindwa hadi na polisi, ni Sharia. Sawa "Sisi" tutabaki kwetu, tutawaachia nyie...
  10. Chigurh

    Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Mimi siongei kwa hasira, nasema ukweli nliuona mwenyewe. Nimeishi sana Zanzibar, kuanzia nikiwa mtoto, mpaka passport yangu imetokea Zanzibar. So unavyosema sijui nnachoongea, nakuhakikishia najua nnachoongea. Zanzibar ni sehemu nimeishi, na huo ndo uhalisia nliouona.
  11. Chigurh

    Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Mada nzuri sana hii. Issue ni Inferriority complex. Waarabu walitawala pande za pwani kwa mda mrefu, walikua na utajiri, na walinyanyasa sana weusi. Walivyoondoka, naona bado waliacha ile mindset ya kwamba kua Muarabu ni Bora. Na ndo maana mpaka leo hii Zanzibar inaongozwa na sheria za...
  12. Chigurh

    Uwezo wa kufikiri bado mdogo sana katika nchi yetu

    Kwa maoni yangu, kutokana na watu mbali mbali nliokutana nao hapa bongo, naona kama uwezo wetu wa kufikiri kama nchi upo chini sana. Hivyo basi, hata ungesema ufute kazi watu wote wa idara nyeti na muhimu ili uajiri wale wenye uwezo na ujuzi zaidi, bado ungetukana na changamoto ya kwamba hatuna...
  13. Chigurh

    Hatutanyamaza mpaka wakina Polepole waachiliwe

    Labda hao wengine, lakini PolePole sijui kwa kweli. Kwa nnavyoona, atakua walishamtumbukiza kwenye acid zamani sana
  14. Chigurh

    Ubayd Allah aliacha Uislamu na kuwa Mkristo. Alipokufa tu Muhamad akaenda mwoa mke wa Marehem

    Huyu mr Mahmood inaonesha anapenda sana hayo mambo ya utamu
Back
Top Bottom