Recent content by chifumpya

  1. C

    Vurugu za kisiasa Ubagwe: CCM ndiyo walioratibu vurugu kuichafua taswira ya CHADEMA

    Jamani tuache ushabiki wa kijinga hivi kweli ukitafali chadema jinsi walivokomaa! hawawezi kabisa kukata mtu na panga wakate na panga ili wapate nini kama kukubalika wanakubalika kila kona ya nchi sasa kwanini watumie mapanga hizo ni njama zemu ili mchafue chama kubwa hatudanganyiki ng'oo
  2. C

    Soma historia ya muungano ujue ulienda shule kufuta ujinga au kujaza ujinga, katiba mpya ni yako

    Nimekua nikitafakali mambo mengi juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibal ukiwemo umuhim wa huu muungano nini walifikilia wazee wetu mpaka kupelekea muungano faida za huu muungano watanganyika na wazanzibal wananufaka sawa sawa kupitia huu muungano hayo ni machache kati ya mengi ninayoyafikilia...
  3. C

    Maana halisi ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Mimi kwa binafsi sielewi maana ya muungano umuhim wala faida na ninaimani watanzania wengi hawauelewi vizuli muungano wanachojua tanganyika na zanziba ziliungana basi ninachoomba kama kuna msomaji anaelewa vizuli juu ya muungano anisaidie na kwa faida ya wasioelewa kama mimi wangeelezwa juu ya...
  4. C

    Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

    Matokeo kwa anaeangalia mpila wa mcc na yanga vipi mpila unaonekanaje
  5. C

    Kura mtandaoni kuamua muundo wa serikali

    selikali 3 ndo njia pekee ya kuunusulu muungano wetu bunge la katiba pekee sio jibu la miswada iliopo kwenye katiba ni vema washilikishwe wananchi wote kila kipengele kitakachokua kinaleta utata tukilitegemea bunge la katiba ni kaukucha kwenye mwili bila ukucha mwili usiende basi tusipo yajali...
  6. C

    M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

    atoboe macho ndo atapata msaada hatufugi mabwa asiekamata mwizi men.
Back
Top Bottom