Recent content by Chifu MerereJr

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wa Kaskazini ni Weupee pee halaf wa kusini ni Weusi tii? In Tanzania

    Kila kilicho kaskazini ni cheupe, Kaskazini ya Tanzania imetoa watu weupe Ukiangalia kaskazini ya Africa unawakuta waarabu😀😀😀😀
  2. C

    JamiiForums Tanzania KERO Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

    Unajuaje wewe kuwa sio wa lazima? Mbona ni kazi rahisi tu, kabla hajapasuliwa ndugu wa karibu anaarifiwa ili aweze kujaza fomu ya ridhaa, Wewe kama unaona ni kitu ambacho sio cha lazima, haulazimishi jaza fomu ya kukataa kufanyiwa upasuaji usio wa lazima ili kwamba lolote litakalompata...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Kuumbe ndo maana huyu dogo hanaga hata maadili ya kiuongozi amejaa dharau na kiburi kumbe anafanya michezo michafu hivi? Sheria ifuate mkondo wake,
  4. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Bila shaka wewe ndo wale watega mitego, au ndo maana unaona huyataki, wewe kama ni mtanzania, yatakupata yote kwa uzuri au kwa ubaya sawa na moyo wako ulivyo.
Back
Top Bottom