Habari za humu jukwaani , niende moja kwa moja kwenye mada
Matumizi ya AI (akili mnemba) kwa dunia ya sasa hayawezi kuepukika , na matumizi hayo yapo karibu kila sekta iwe ni biashara,elimu,jeshini, ma engineers ,Doctors ,waandishi wa habari ,content creators hata wengine ambao wanaitumia AI...
Naombeni msaada wenu ,mi natarajia kuanza masomo ya level ya degree ,sasa najua kila hatua inamikakati yake,nilivyozoea kusoma secondary(Advanced) najua itakuwa tofauti kidogo na chuo....
Mliopita huko tupeni uzoefu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.