Recent content by chiefd

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasiopenda kuwajibika kitandani, tabia zao ni hizi

    Mkuu kuna kaukweli flani hapa, mi sometime natamani kupiga ngoma za nje bwana.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi haya yatanishinda

    Hivi ninyi wadada si munataka wanaume wenye pesa? We kama vp komaanaye tu ule pesa zake mana hapo mpo wengi, bali kama unataka mwanaume bora Muombe Mungu atakupatia dada.
  3. C

    JamiiForums Tanzania ni vigumu kuamini nilivyomjaza mimba mkewe na akalea mwanangu

    Subiri na wewe ukioa utagongewa wife wako na houseboy tu, si unaona raha kula mali ya wenyewe? Na yakwako italiwa tu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania mapenzi jamani yataniua

    Ukiendekeza mapenzi sana kila time utakufa kweli si unafahamu kuwa UKIMWI upo? We haya na mapenzi yako ya kuku.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuna mkaka kanivutia humu MMU

    Umempenda sana hata hujamchunguza background yake ilivyo. Acha kumsaliti mchumba wako bwana!
Back
Top Bottom