Hii nchi ngumu sanaa, sidhani hii kitu inaweza kufanyika. Wiki iliyopita kuna kiwanda cha Kutengeneza mikate-Japan waliahidi kutoa fidia kwa watumiaji wa mikate yao baada ya kukuta mabaki ya panya kwenye bidhaa yao, licha ya kuthibitisha kwamba hakujatokea tatizo lolote kiafya kwa watumiaji bado...
Hii ni changamoto kubwa kwa Hospital nyingi, tena wakati mwingine vifaa vinanunuliwa havina kiwango au haviendani na Technology iliyopo. Shida mwongozo uliopo katika Hospital za serikali, anaehusika na manunuzi ya vifaa tiba ni mfamasia na sio "mtaalamu wa vifaa tiba/Biomedical Engineer" sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.