Hizo pc zote hapo juu ni ghali na specs za ndogo mno compare na bei.
Una ulazima na laptop mpya?
Brand ya pc haimaanishi chochote sababu kila brand ina sub brand yake ambayo ina target watu Fulani.
Mfano Lenovo Ideapad ni laptop za bei rahisi hazina build quality nzuri, zinatumika plastic...
Kuna waya unanunua mwenyewe toka router kuja kwenye pc unaitwa ethernet, huo ndio unakupa speed kubwa Sana. Hazina bei Mita 500 madukani kama unaweza suka mwenyewe, ama ukinunua pengine ikawa chini ya 5000 ambao ushasukwa.
Kwa same budget sio? ThinkPad L15 naziona sasa hivi kwa laki 6 machine ya KAZI ni nzuri
https://epiccomputers.co.tz/product/lenovo-thinkpad-l15-gen2-i5-11th-8gb-ram-256gb
Probably somewhere ukaipata rahisi zaidi maana hao jamaa bei zao sio rahisi kivile.
Pia HP Elite book anazo same link hapo...
Inategemea unalipa kiasi gani kutokea kwenye hio list. Dxomrk siku nyingi walishapoteza credibility.
Xiaomi ultra series, Samsung Ultra series, pixel series etc ni nzuri kama wengine Hasa kwa test ya Dxomrk ambayo ni picha mnato huku wakitumia tripod, unaweza pia ukamu add Sony kwenye testing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.