Search results

  1. Chief-Mkwawa

    Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    Tp link zipo nyingi na kila moja ipo na uwezo tofauti tofauti, ila wifi za kawaida 2.4Ghz tunaongelea bandwidth around 300mbps na hupati yote hio ipo on theory tu. Wenyewe TP link wanashauri router za kawaida watu 25 na router za pro watu 50. Soma zaidi hapa...
  2. Chief-Mkwawa

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Mkuu hizi ndio zile simu watu wanapigwa huku kama iphone, hazina issue, hio ni simu tu ya kichina ambayo imetengenezwa kama iphone.
  3. Chief-Mkwawa

    Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    Kwa hizi router zetu za "consumer" si rahisi. Watu 500 unaweza hata ukaweka private network, mkawekewa na mnara wenu. Labda ufanye mesh uweke Router nyingi na Ap tofauti tofauti ili ku split load router moja wasiconect watu wengi.
  4. Chief-Mkwawa

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Ina hela ya kutosha? Maana dola siku hizi imepanda sana. Kuna option ya PayPal ila sijajua kama Tanzania ipo.
  5. Chief-Mkwawa

    Matangazo ya lazima kwenye kwenye simu: Hizi sera zipo worldwide au hapa Bongo tu ili watupige mb zetu?

    Hio inaitwa class 0 msg ama flash message, ni kwa ajili ya emergency ila siku hizi inatumiwa vibaya kama hivyo. Kwa baadhi ya simu ina bypass hadi lock screen, unaweza kuwa umelala simu ipo full charge ukaamka battery low sababu ya hizi message. Na most of time huwezi kuzitoa, kuna simu zina...
  6. Chief-Mkwawa

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Unaweza uka download mdogo mdogo haina shida, steam ina support resume.
  7. Chief-Mkwawa

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Bei nzuri sana mkuu, ana mzigo mkubwa ama ndio za kubahatisha.
  8. Chief-Mkwawa

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Epic store na Steam wana FC24 kwa $14 sasa hivi, standard version. Sijafuatilia zaidi kama kuna code ya kushusha zaidi.
  9. Chief-Mkwawa

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Unaweka, hata Nokia ya tochi miaka 10 iliopita inakaa cha muhimu tu format kutokana na simu yako inataka nini. Sema kuwa makini sd card za 2TB likely ni fake
  10. Chief-Mkwawa

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Sina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo. Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific. Cha muhimu mkuu ni kujua...
  11. Chief-Mkwawa

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Case mkuu inategemea na wewe, kama hutaki urembo na hujali muonekano Kariakoo na machinga Complex kuna case used za kutosha tu. Otherwise itabidi uagizishie nje.
  12. Chief-Mkwawa

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Am4 inakubali Ryzen zote mkuu mpaka 5xxx series, kuanzia 7xxx series ndio zinataka Am5. Kupata uhakika zaidi unaangalia website ya gigabyte. https://www.gigabyte.com/Motherboard/B550M-GAMING-rev-1x#kf Ama wasiliana na seller Aliexpress akupe uhakika zaidi.
  13. Chief-Mkwawa

    Upi ni umri muafaka kwa mtoto kumiliki simu ya mkononi

    Tablet isio na line labda, hasa ambayo ina feature zitakazomlimit asiwasiane na watu tofauti Na familia. Kum expose mtoto na watu asiowajua kwenye mitandao ya jamii ni hatari sana. Tablet anaweza tumia hata akiwa chekechea, Umri wa kubalehe unaweza kuanza kumfundisha mambo ya Simu ila...
  14. Chief-Mkwawa

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Inawezekana simu yako ikawa na stereo speaker, yaani speaker mbili ya juu na chini, ili uwe na multi chanell audio unahitaji angalau speaker mbili.
  15. Chief-Mkwawa

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Sijajua dts ipi mkuu, ila kuna dts ambayo ni kampuni (Digital theater system) hii kazi yao ni kutengeneza Multi chanell audio, ambazo hutumika kwenye speaker za vifaa mbalimbali kama Home theater, sabufa, etc
  16. Chief-Mkwawa

    Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Huu uzi ume editiwa, hata sijui munaongelea nini ama munamuongelea nani, jana wakati unapostiwa Uliuliza tu maana ya neno "wazuri hawafi"
  17. Chief-Mkwawa

    Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu... Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
  18. Chief-Mkwawa

    Wakuu, nichukue ipi kati ya Galaxy A14 new au GooglePixel 4a used? Zote 350,000/=.

    320K nilinunua kkoo, hakikisha tu unajua kuingia service mode na uhakiki vitu kama battery health, touch na vinginevyo. Maeneo ya uhuru na aggrey zipo nyingi mno. Kama unaona maduka ya juu unashindwa ku bargain ingia basement lile jengo la kona ya msimbazi na uhuru lenye maduka mengi ya simu.
Back
Top Bottom