Nimesoma hii taarifa yote, hakuna ukweli wowote katika taarifa hii.
Kwanza si kweli kweli kuwa umeme toka uganda ni umeme wa uhakika na kuwa haukatiki mara kwa mara, mim ni Engineer kiwandani, mf. Tar 24 na 25 february umeme ulikatika toka uganda kwa masaa zaidi 12 kwa siku hizo, uliza tanesco...
Hawa wanasiasa watu wa ajabu sana...anasisitiza watu kujiajiri ilhali nayeye mwenyewe kaajiriwa...kuajiriwa hakutaisha duniani...hata ukiwa mjasiriamali utahitaji watu wa kuwaajiri. Hutafanya kazi zote mwenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.