MUNGU ni Mungu tu.
USHAURI:
Paul Christian Makonda
Ita Waandishi wa habari waonyeshe VYETI vyako kuazia cha UBATIZO, UBALIKIO, KIZALIWA, Kidato cha nne na kidato cha 6 na chuo baada ya hapo, Nenda Mahakamani KAMSHITAKI au Washitaki wote ambao wanakudhalilisha na kukuita Daud Albart Bashite
EFM ni chombo cha habari, kuhoji na kuitaji kufaham * Daud Albart Bashite au Paul Christian Muyenga/Makonda jina halisi ni nani?
Udanganyifu ni kosa la Jinai
Kosa liko wapi?
EFM ni chombo cha habari na lengo kuu kufikisha habari kwa wasikilizaji.
EFM endeleen mpaka kieleweke ni * Daud Albart Bashite au Paul Christian Muyenga/Makonda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.