Recent content by Chief Kabikula

  1. Chief Kabikula

    Katibu TEC: Loliondo Watanzania wanateseka hadi sasa

    Baada ya bandari hawa wafilisti wa kijani kibichi sijui wamepanga kuuza nini tena ?
  2. Chief Kabikula

    Tuhuma za kughushiwa saini mkataba wa kuuza bandari mbona hazijadiliwi?

    Tumeuzwa bei ya jumla au rejareja haileweki mpaka sahihi wanafoji kuna sehemu pia imesainiwa na hao wengine bila majina yao kuwepo , chunguzeni kwa makini.
  3. Chief Kabikula

    Nakukumbusha Nape Nnauye kwamba Mbowe si kama Lowassa uliyemtukana utakavyo

    Mwenye video Nape anaenda kuomba msamaha kwa Magufuri baada ya kulazimisha na mke wake akaombe msamaha ili mke naye asifukuzwe kazi benki aiweke tumuone msaka tonge.
  4. Chief Kabikula

    Hili la Bandari zetu kubinafsishwa kwa muda na 'conditions' ambazo hazijulikani, tuviachie vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Tatizo viongozi wote wa hivi vyombo vya ulinzi na usalama wanateuliwa na hawahawa matapeli waliopuiga mnada bandari , na wengi wa viongozi wa mihimili wameteuliwa kwa fadhila , sifa za hivyo vyeo hawana ,
  5. Chief Kabikula

    Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

    Point toe note , sio kwamba bandari ya Dar es salaam pekee imepigwa mnada mchana kweupee ,pia bandari zote katika mito na maziwa yote makubwa , tunaomba Mungu aushushe mkono wake kwa viongozi wote na wabunge mapimbi, wajinga, matapeli , majizi , mafisadi na wazandiki wanaotumia ignorance of the...
  6. Chief Kabikula

    Natoa angalizo kwa siku ya kesho Jumamosi ya Juni 10, 2023

    Yaani kila mbunge atayepitisha mkataba huu kesho asirudi jimboni aende moja kwa moja Dubai huko akaolewe.
  7. Chief Kabikula

    Makanisa ya Kilokole kama Taifa tuamue sasa kuyapiga marufuku, ni Majanga

    Serikali ya Tanzania ina kazi sana kuna mpaka vichaa kabisaa wanaendesha makanisa. Usikurupuke ushahidi ninao wa kutosha.
  8. Chief Kabikula

    Shambulio la Lissu, sawa na mtu kutafuta kichwa chake

    Muda ni mwalimu mzuri sana, ipo siku wahalifu wote na uhalifu wao watajulikana peupeee , mbingu zitawaumbua tu.
  9. Chief Kabikula

    Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

    Awapigie tra na ccm wimbo wake ule wa acha nikae kimya
  10. Chief Kabikula

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Aiseeee you can't believe your eyes unless you add another two eyes .
Back
Top Bottom