Recent content by Chief Isike

  1. Chief Isike

    CHADEMA imeitisha Kamati Kuu ya Dharura Julai 26, 2015

    Nimeipata hiyo kutoka kwa mmoja wa wahariri waliokuwa wamealikwa...
  2. Chief Isike

    CHADEMA imeitisha Kamati Kuu ya Dharura Julai 26, 2015

    Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa Kamati Kuu ya Chama imekutana leo Julai 26, 2015, jijini Dar es Salaam kwenye Kikao Maalum cha dharura kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na; 1. Maandalizi ya Chama kuelekea Uchaguzi mkuu. 2. Kupokea taarifa za mchakato wa kura za maoni...
  3. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Upendo. Wapiganaji hupendana namna hii. Si maCCM yanapigana hadi kutaka kutoana roho. Kikwete aliwahi kusema hawaaminiami kabisa wanaweza hata kuwekeana sumu...
  4. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    CHADEMA huu ni upendo mkubwa. Wananchi wana imani kubwa mno na chama hiki...
  5. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Pipooooooooooz....mapokezi hayo.
  6. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Anajisikia yuko nyumbani zaidi sasa...
  7. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Ni makamuzi tu...Asante Bulaya. Umeonesha mfano wa kuigwa kwa vijana na wanawake nchini. Kuwa kwenye timu sahihi inayoendana na uwezo wako.
  8. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Na kweli jamaa wanawashughulikia, dah hadi huruma. Wapigwe tu waondoke sasa maana tumechoka sasa utawala huu... James Lembeli akiwa kazini...kuimaliza CCM.
  9. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Mpiganaji Ester Bulaya akiwa ndani ya kombati rasmi kwa ajili ya mapambano. Wapi Tyson sasa...
  10. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Nakwambia, jaribu kufikiria wanachowaza huko CCM.
  11. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Mkiti wa Mkoa wa Mara CHADEMA, Vincent Nyerere
  12. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Hawa jamaa sasa watawaua CCM kwa kihoro kabla ya muda. Mkakati huu wa kuwatanguliza maCCM kwa baiskeli ya mbao, dah! Jionee mwenyewe
  13. Chief Isike

    Mbunge wa Mbeya Sugu 'awazunguka' CHADEMA wenzake Mbeya Mjini

    Mkuu Mkuu Mkuu Meandu haya jamaa bhana. Yamekuja haraka haraka, yamekutana na kisiki, mwe yakaishia kutokuelewa. Sugu kapiga noma. Atawazunguka hivi hivi maCCM tena.
Back
Top Bottom