Recent content by Chief Bampupile

  1. C

    Waziri Mwakyembe amebadili gia angani?

    Itakua nchi ya kwanza duniani wanamuziki wake wasiimbe masuala ya siasa, ukiangalia historia wanamuziki wetu wamekua wakiimba nyimbo za maudhui ya siasa aidha kwa kuhamasisha maendeleo kwa kusifia juhudi za wanasiasa, nyimbo za kimapinduzi, nyimbo za mashujaa nakadhalika.. sasa siasa yetu bila...
  2. C

    Kwa hili Rais Magufuli usije kumtafuta mchawi!!

    Kuna walakini kwenye vyeti vyako mini kaka maana hili swala kwako Kama vile linakunyima raha.
  3. C

    Kwa hili Rais Magufuli usije kumtafuta mchawi!!

    Watumishi wa uma ni wale wote wanaolipwa mshahara na kodi za wananchi, kwa kufafanya hicho walichofanya watu watagushi vyeti na kukimbilia siasa.. Maana kw serikali hii inatoa immune kua mwanasiasa, sheria haikugusi..
  4. C

    The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

    Nice one but based on fear of failure... What if he cracks the structure and make through?
  5. C

    Idara ya Uhamiaji iache kutumika kisiasa kwenye suala la Manji

    Huyo afisa ameidharirsha ofisi,anaonesha hana weledi hasa kwenye mambo ya kisheria..labda kama anatimiza agizo ila vinginevyo yeye ni jipu.
Back
Top Bottom