Recent content by chidou

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nilala Nikaota Malkia Huihui Kapinduliwa Ugagagigikoko, Kuamka Kumbe Ndoto!

    Ni ndoto kweli.........
  2. C

    JamiiForums Tanzania The plane Crash that Will be Comforting the Nation in one of African Countries 2026/7

    Kwa kweli Natamani iwe hata kesho......
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ule mpango kabla ya Passover umekamilika

    Ayatollah kama Ayatollah
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    Naona alitoboa ingawaje ulisema hata toboa sasa sijui hii imekaaje siku zinayoyoma tu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ule mpango kabla ya Passover umekamilika

    Hii mambo ya Ayatollah yakija kutimia siku hiyo watu watakunywa ujimbii na Kangala vilabu vyote vitaishiwa na wengine watalala vilabuni kwa mashangilio.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Responded Tume yasema waathirika wa Oktoba 29 watapatiwa huduma ya Kisaikolojia

    Hii Tume hata haieleweki kwakweli na sijui kama itakuja kueleweka naona kama wanajichanganya sana mengine wangekuwa wananyamaza tu kuliko kuendelea kujaza watu sumu mtaani.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

    Duuuh
  8. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Ayseeee
  9. C

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

    Duuuh
  10. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee Butiku: Tukae tuzungumze bila fujo vijana watuamini

    Sio yule anayesemekana alimsaliti Polepole kweli? Sasa nani atamsikiliza? Alikuwa anaheshimika sana huyu Mzee.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nondo toka kwa Padre Kitima, Rais Samia hakuna atakayekuelewa leo. Ni Bora ukae kimya!

    Watu wameshaijadili hutuba yake kabla ya kusomwa, ogopa sana Watu wakikuchukia. Damu za watu mbaya sana zitakufuata mpaka Kaburini. Naomba Mungu wa Mbinguni aendelee kushupaza shingo wasaidizi wake waendelee kumsindikiza shimoni, maana sipati picha baada ya hutuba watu watazidi kujaa sumu kiasi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

    Hivi hii ndoto iliishiaga wapi?
  13. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vilio vitaanza vya watawala muda sio mrefu kuanzia kesho

    Mungu asaidie mipango ikawe sawia
Back
Top Bottom