Recent content by chidayo

  1. C

    Kuitwa kwenye usaili baada ya kupangiwa kituo cha kazi

    Ukishapata cheki Na. Lazima ufuate taratibu za utumishi kufanya sahili kwenye taasisi nyingine, kwasasa huna sifa lazima uthibitishwe then ukae kituo cha sasa miaka mitatu. Ukiamua kwenda tu hata ukipata hiyo nafasi utarudishwa huko ulipopata cheki namba sasa
  2. C

    Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Andika barua kwa katibu mkuu utumishi kupitia kwa DED kuomba uhamisho, ambatisha hiyo barua ya ajira mpya.Muone DED ana kwa ana mwambie ukweli nina hakika atapitisha barua yako kisha itume Dodoma kwa katibu mkuu utumishi, subiri ndani ya miezi mitatu hadi mitano utapata uhamisho.
  3. C

    KERO Mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka 2023 umekuwa kero kubwa

    Andika barua, watu mwaka huu wameandika barua na wamepata vibali kupitia barua walizoandika.Ukisubiri uhamisho wa mfumo hutahama.
  4. C

    Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

    Mimi mwaka jana October nilikua wa pili kutoka mwisho kwenye selected for oral kati ya watu 25 tuliokua selected na siku ya Oral ndio nilikua wa mwisho kuingia panel room, lakini mwaka huu February mkeka ulitoka wa placement nikiwa miongoni mwa waliopata hiyo kazi. Kwenye Oral wanaenda kuanza...
  5. C

    Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

    Hiyo ndiyo mishahara ya walimu
  6. C

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Mkuu wa taasisi si ndio ACOUNTING OFFICER? maana kabla ya hiyo ALLOWED Ilisoma status ACOUNTING OFFICER
  7. C

    Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

    Mimi status inasoma ALLOWED sijui kinachofuata hapo maana kabla ya hapo ilisoma ACOUNTING OFFICER
  8. C

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Bado sijapata barua yaani huko utumishi kuna ukiritimba aisee
  9. C

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Kwa mwenye kujua huu mfumo, ombi langu la uhamisho limefikia hapo sasa nini kinafuata baada ya hiyo status maana ilibadilika kwa hatua kama mbili hadi kufika hapo
  10. C

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Alhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
  11. C

    Wachezaji wetu wazawa wanakwama wapi? Kila tetesi ya kutakiwa na timu za nje ni wageni tu? Why siyo wazawa?

    Wachezaji wazawa ndio hao akina Fei, unadhani kuna timu kubwa zenye mafanikio na zinazoendeshwa kwa weledi zitahitaji wachezaji aina ya Fei ambao wanavunja mikataba kihuni bila kufuata utaratibu? Hawa wataendelee kutumika humuhumu tu.
Back
Top Bottom