Nyumba ya Kupanga Inahitajika
Wanajamii,
Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama, Sinza, Mwenge. Iwe na chumba kimoja cha kulala, sitting room, bafu, choo na Jiko. Gharama isizidi sh. 60,000 kwa mwezi. Nipo tayari kulipia kwa miezi 6.
Tafadhali kama unafahamu naomba unitumie email through...