Recent content by Chicho_

  1. Chicho_

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa Mto Matarawe, Manispaa ya Songea Mjini: bomu la kimyakimya

    Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi. Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
  2. Chicho_

    JamiiForums Tanzania Picha Bora Ya Siku Kutoka Kwa Rais Samia Iliyoteka Mitandaoni Duniani Kwote. Yawakosha Watu Na kuleta Tabasamu

    Tupo 2025 mtu anaposti kuhusu 'picha bora ya rais', imagine! Mwenzetu upo analogia.
  3. Chicho_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

    Kama unapata wivu kwa mwanamke uliyemuacha basi bado una akili za kitoto na huamini kama unaweza kupata walio bora kuzidi yeye. Bado una safari ndefu ya maumivu
  4. Chicho_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti msomi analalamika kusumbuliwa na Wanaume kisa ni pisi kali

    Waingereza wana msemo wao, 'Beauty is in the eye of the beholder', kwamba unachokiona wewe kizuri, mwenzio anaona kinyume chake. Huyo ni mwanamke wa kawaida sana.
  5. Chicho_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto ya Malezi: Watoto kuharibu vitu

    Kwenye hiyo changamoto uliyoitaja kuhusu mtoto, nimejaribu kufikiria tu kama ingetokea kinyume chake na ikaleta madhara kwa mtoto iwe ulemavu au kumpoteza kabisa halafu hicho kifaa au kitu cha thamani kilichokupa hasira kikabakia kizima, ungejisikiaje? Nafikiri wazazi na walezi tunatakiwa...
  6. Chicho_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani ulishawahi jutia kukifanya katika maisha yako ya mapenzi?

    Moja ya mambo huwa najutia kwenye mapenzi ni kutochukua hatua za kuacha mwanamke mapema kwa sababu ya; 1. Hofu ya watu hasa wana-jumuiya wangenionaje? 2. Kuamini kwamba atabadilika kitabia nikimpa 'second chance' kila alipokuwa akinikosea. Matokeo yake, muda mwingi ulitumika kwenye vikao vya...
  7. Chicho_

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

    Binafsi, ningejishauri; 1. Kutooa kabla ya kumaliza chuo. 2. Kuendelea na soka coz naamini ningefanikiwa. 3. Kuendelea na biashara licha ya changamoto zilizokuwa zikijitokeza.
Back
Top Bottom