Recent content by CHIBUKU

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kinana, Dkt. Mingiro na Nape wawasili Momba. Maelfu wajitokeza kwenye mkutano mjini Tunduma.

    Nimeshuhudia kwa mara ya kwanza CCM wakifanya mkutano wa ajabu, mkubwa lakini ambao wananchi walikua wanashangilia mwanzo mwisho mjini Tunduma. Nilichojifunza wanaompuuza Kinana hawajatafakati vizuri. Na hapa nazikumbuka makala za Kibanda zilizomsababishia upofu! Kibanda alionya " UPINZANI...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Chadema wahaha kuzuia nguvu ya Kinana, wamtuma Benson Kigaila kuhujumu Mbeya!

    Nimeshangazwa na kuhaha kwa Chadema mpaka wamelazimika kumtuma Benson Kigaila kwenda Mbeya kujaribu kuzuia kasi ya Kinana, Katibu mkuu wa CCM. Hii ni baada ya vijana wengi wa Chadema kuanza kuhama CDM na kuhamia CCM baada ya kufukuzwa Zitto na kukunwa na sera safi za CCM. Kigaila nimepanda...
  3. C

    JamiiForums Tanzania CHEZEA MACCM wewee!

    Hakuna shaka sasa kuwa Chama kikuu cha upinzani nchini (Chadema),kinapitia wakati mgumu sana katika historia ya chama hiki. Jambo moja sina hakika nalo ni kama watavuka salama! Tuwaombee wavuke salama kwa faida ya demokrasia nchini. Lakini haya yalitabiriwa na viongozi kadhaa wa CCM akiwemo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nape;- NINGESIKIA AIBU KUITWA MTOTO WA FISADI FLANI!

    Nape Nnauye jana amefunguka juu ya wanaojadili ubaba wa Prof. Mwandosya kwake na kusema anasikia fahari watu wakimfananisha na Mwandosya kwani sifa na uzalendo wa Mwandosya ni heshima na fahari kuwa karibu naye na kufananishwa naye. "Nasikia watu wanajadili huyu Nape mtoto wa Prof. Mwandosya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mzee kinana & nape: Waziri wa kilimo ni mzembe

    Akili za kibavicha bhana! Hivi hukumwona Nape akiwa Nyamongo na alipomaliza kutatua kero za Nyamongo wana Nyamongo walisukuma mpaka gari yake. Speed hii ya CCM i amaliza kabisa Chadema
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    5.11.13 Chadema kinakufa huku kinacheka Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam. NI dhahiri Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kinakufa huku kinacheka. Kuisema kauli hii kwa Tanzania ya leo, kunahitaji moyo wa chuma. Baadhi ya watu wasiopenda kukoselewa au kuelekezwa jambo wataanza...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA sawa na kuchomoza na kuzama kwa jua!

    Unahusudu vya kichina eeeh?!! Mswahili nawe unajiita communist!!!!tangu lini?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA sawa na kuchomoza na kuzama kwa jua!

    Yaani hivi ni ile gongo ya jana inakusumbua bado au?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA sawa na kuchomoza na kuzama kwa jua!

    Hakika inauma lakini ndio ukweli usiopingika kuwa sasa Chadema sio hadithi wala ndoto tena inasambaratika kwa kasi mbaya na ya ajabu sana. Imekua kila siku wanafukuzana, uchaguzi ndani ya chama hiki unawatia kiwewe vigogo wanaofaidika na mfuko huo wa saccos! Ma CCM bila Chama imara cha...
Back
Top Bottom