Recent content by cheupedawa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Zzk kweli ana ukwasi,kwa sababu halipi kodi ya nyumba wala luku ya umeme anaishi na mamake kubwa zima ndo mana anajifanya mzalendo,tena anatembea na wanawake ambao anataka yeye ahongwe. Ajitegemee kama wanaume wengine ndio atajua ugumu wa majukumu,NYAMBAFFFF!!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

    Huyo makanda story zake tunazo mpaka basi,asijifanye hapo kwanza hata kura za maoni2010 kwa sisi wana wa Bumbuli hatukumpigia yeye na analijua,alieshinda anaitwa Abdul Mgheni na babake na JK walitumia nguvu nyingi sana kuhakikisha anashinda na 2015 ubunge atausika bombani Operesheni ondoa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

    Hebu niacheni nisongee ya January Makamba hapa, mana mie namjua mpaka chooni kwao,naomba niwarudisha nyuma kwenye uchaguzi wa 2010. Alieshinda kura za maoni ni Abdul Mgheni ila JK alisema apewe tu na wananchi wakaandamana mpaka JK alipokwenda kusuluhisha kwa hiyo amepewa tu huyo wana hana...
  4. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama CHADEMA na Viongozi wenu hivi kweli mpaka Mwezi Unaelekea kwisha!!

    Wewe kutoa ni moyo bana,na ukitoa ukajitangaza ni bure kabisa CDM hawafanyi kama wauza unga wa ccm,au unataka wafanye kama Lowassa?? Acha ushamba wewe! Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  5. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazindua M4C mgawanyo wa sera ya majimbo 10

    CDM mwendo mdundo, kanyaga twendeee!!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    Kweli kuachwa kubaya jamani, sasa dada juliana..... unavyo wakashfu viongozi wa CDM na kuponda kila kut halafu bado tu una ng'ang'ania kua wewe bado ni makamu BAVICHA huoni aibu????? na mbona huku yaongea yote hayo tangu mwanzo mpaka utimuliwe ndo useme?? nakushauri tu uende chama chochote...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Eti wanawake wenye kipato kisichopungua Milioni 3 kwa mwezi hawaoleki…!

    mmmhh, hiyo mbona iko too general? nimeshawaona watu kibao tu wana pesa kuliko waume zao lakini wala hawana hayo ya madharau na nini.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

    Ingekua mimi ni M/kiti wale wote walioanzisha ile vagi nawatema tu,kuanzia huyo mamuya mpaka ben saanane, tulikua twawaona wakitumbua mabia woooooooote pamoja(mchange,saanane,mamuya,gwakisa,mwampamba) pale B bar sinza, nna wasi wasi mamuya kakosa 10% ya kitu flani ndo akaamua kuwachoma...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    hapa naona kuna watu wanatafuta umaarufu tu kupitia wengine ambao ni wazoefu, hivi nyie watu mnajua kua watanzania wanaona kua CHADEMA ndio chama pekee ambacho kitawaleteea unafuu kwenye kila kitu??? acheni upuuzi mjenge chama,kwa ambao hamjatoka tafuteni njia nyingine acheni kuchafuana
Back
Top Bottom