Nina kampuni ya kuuza ASALI inaitwa HONEY SPRING iliyopo Morogoro Mjini na ninauza ASALI YA NYUKI WADOGO toka TABORA.
Natafuta mjasiriamali aliepo ARUSHA MJINI nifanye nae biashara kutokana na uwepo wa wateja wengi wa ASALI YA NYUKI WADOGO.
Tuwasiliane kupitia 0683370065 au 0769129351 au...
Habari wadau!!
Naomba msaada wa kupata contacts za wauzaji wa majiko ya ROTARY OVEN ya kuokea mikate kama zinazoonekana kwenye picha,ziwe mpya au used.
Namba yangu ni 0683370065
Natanguliza shukrani!!
Wadau kwa heshima na taadhima natafuta gloves ndefu za kushikia vitu vya moto katika bakery yangu, anaejua pa kuzipata au alie nazo awasiliane na mimi kwenye namba 0683370065 au 0769129351.
Asanteni sana
Wenye shida na ASALI HALISI ya NYUKI WAKUBWA au WADOGO karibuni HONEY SPRING, kama uko DAR ES SALAAM tunakuletea mpaka ulipo kama upo MOROGORO tuna duka letu la ASALI tu.
Namba zetu ni 0683370065 au 0769129351 pia unaweza tembelea PAGE yetu na KULIKE facebook.com/honeyspring12
Wadau ambae anajua wapi naweza pata mashine ya kujazia ASALI kama inavyoonekana kwenye picha iwe USED au MPYA naomba tuwasiliane kwa simu namba 0769129351 au 0683370065.
Natanguliza shukrani za dhati
Habari wadau? Natafuta mahali DAR ES SALAAM wanapouza vimashine vidogo vya kufunga seal (BAG NECK SEALER) ntakachotumia kufunga mikate yangu Kama inavyoonekana kwenye picha, natanguliza shukrani zangu za dhati!!
Mpuuzi wewe, naogopa kula ban ila jua nimekushushia matusi mengi tu, kama humjui mtu usichonge domo lako kisa unalo, na ntafrahi nikiskia siku umekufa kwa ajali.
R.I.P dasa SUMA na mauncle zangu
R.I.P dada SUMA na ma uncle zangu na dada wa kazi!
Ni ngumu kuamini ila ni kuwaombea kwa Mungu, ni msiba mzito kwa famili hasa kwa Mme mana sasa amepoteza watoto wote wanne na mke pia!!
na hizo ndio package zetu kuanzia nyuki wakubwa hadi wadogo
BEI
NYUKI WADOGO
LITA 1-35000
NUSU LITA-20000
350ML-15000
NYUKI WAKUBWA
LITA 1-12000
LITA 5-55000
Tunakuletea mpaka ulipo
mkuu mimi ni mfanyabiashara wa asali,asali zangu zinaitwa HONEY SPRING unaweza tembelea page yangu kujionea zaidi ni facebook.com/honeyspring12
namba zangu za simu ni 0683370065 na 0769129351 ukihitaji tunakuletea mpaka mlangoni kwako bila usumbufu.
karibu
Samahani boss kwa kucheleqa kujibu nilikua na matatizo ya mtandao!
Upangaji wa bei una mambo mengi boss, je unajua sasa hivi tabora kwenyewe madukani lita 1 ya nyuki wadogo inauzwaje? Kama ulikua huna taarifa ni elfu 20 na iko kwenye package low quality, sasa fanya hesabu kidogo tu ya kuitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.