Recent content by CHEOTU

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Mungu wangu na Baba yangu wa mbinguni mlinde Rais wetu ili arudishe heshima ya nchi yetu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Makontena 9 yakamatwa eneo la Mbezi Beach, Tangi Bovu

    Mh! Zinachosha!! Walewaleeeee. Hama nchi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

    Makonda tuangalie wakazi wa salasala kwa Barikiwe kuna jamaa alifunga barabara ya wananchi kwa ujeuri wa pesa ni miaka kadhaa sasa wananchi wanataabika ile mbaya. Tusaidie wanyonge ni wakati wetu sasa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nakuunga mono mkuu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

    Napendekeza aende ardhi kinondoni
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mradi (Children Book Project for Tanzania) uko wapi?

    Wapo Dar, Africasana karibu na coner Bar
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi na mwanangu tunaota ndoto inayofanana

    Ni mara mbili sasa naota mwanangu anaungua moto, hata yeye kaota anaungua! Ina maana gani?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Dereva chukua tahadhari kwa sasa

    Asante kwa kutujuza
Back
Top Bottom