KingRay
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 516
- 291
Xafi xana,ha ha ha
Mkuu hii ni Jamiiforus si FB kwanini unaandika xxx baada ya sss. Nachukia sana hii tabia asee
Xafi xana,ha ha ha
Khaa!! Na huu ndiyo usafi hasa tunaoutaka :mvutaji:Safisha baba safisha. Hatutaki kuyaona majizi yakibaki kwenye utumishi wa umma
kipande ndio alikua mtu sahihi na bandari ilikua infanya kazi vzr nadhan maguful amrudishe kipande enzi zake bandari ilikua inafanya kwa ufanisi '''relatively'"'
Nataka kuona mavumbi mitaani yanaisha (paved roads), umeme wa uhakika na bei nafuu, maji ya uhakika safi na salama, makazi bora, elimu bora na huduma bora za afya.
Hii timua timua haijani-impress mpaka nitakapoona 10% ya implementation ya hayo niliyotaja hapo juu
By the way hata UKAWA ndo tungeanza hivyohivyo ili ku-set mipango ya baadaye, cha muhimu asirudi nyuma katika kuset revenue
Mmmmh!Jamaa anataka kushinda kiulaini 2020 sio??????
Huyyu ndiye masawe ambaye tayari ananyea debe
Hebu acha kuwagawa watanzania wewe pambaf!!!! Mgufuli mwenyewe alisema atakuwa Rais wa wote wewe ni nani ulete uchonganishi ungekuwa karibu lazima ningekusukumia pini la uhakikaMkuu ww Ukawa hukumpa kura so tuachie sisi tuliompigia kura ww subiri ayo ufanyiwe na uyompa kura sawa dada..
Hii ni tabia ya vibinti vinavyokuwa kama ElungataMkuu hii ni Jamiiforus si FB kwanini unaandika xxx baada ya sss. Nachukia sana hii tabia asee
Ikawa usiku, ikawa asubuhi, siku ya 32!
Ukweli nausema. Namuunga mkono Rais Magufuli na Serikali yake kwa mapambano dhidi ya ufisadi, rushwa na dhuluma waliyoyaanzisha. Nawatakia kila lililo jema katika mapambano yao. Lakini, nchi si TRA na Bandari tu. Na wala si TRL tu. Nchi ni wananchi.
Fukuzafukuza na shtakishtaki inayoendelea kutokea TRA,Bandari na TRL si mwarobaini wa nchi nzima. Nchi si Dar es Salaam tu ambapo mambo yote yanayoendelea sasa yanafanyika huku. Dar es salaam ni mkoa mmojawapo tu wa Tanzania.
Watanzania wana imani kubwa na Serikali yao. Bado wanaisubiri. Wanaisubiri kwakuwa yanayoendelea sasa hayawafaidishi moja kwa moja. Hayawapi malazi, chakula wala mavazi. Wananchi wanataka huduma. TRA,Bandari na TRL zisimkwamishe Rais kuwafikia wananchi wote.
Baraza la Mawaiziri liundwe na kazi ifanywe. Kuna maswali ya Wabunge yanasubiri kujibiwa kwa tafiti hapo Januari. Mawaziri watapata muda gani kutafakari na kuyajibu maswali? Na kadhalika na kadhalika.Muda unataradadi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es salaam
AWAMU YA NNE "Mke wangu nimeitwa Ikulu naona mambo mazuri"
AWAMU YA TANO "Mke wangu nimeitwa Ikulu sijui kama nitasalimika sijui nimeitiwa nini naomba uwataarifu ndugu zangu wajiandae kwa dhamana mahakamani mwambie na mchungaji aniombe."
Mkuu hii ni Jamiiforus si FB kwanini unaandika xxx baada ya sss. Nachukia sana hii tabia asee
Naweza hama nchi kama haya yakiendelea kwa mwaka mzima...cwezi kaa nchi ambayo kiongozi wake ckumpigia kura kwa mkumbo bila kujua mazuri ambayo angeyafanya leo hii roho yangu inaniuma kwa ubaya niliomtendea cku ile ya 25 october...hakika nipo mbioni kuhama nchi endepo matarajio ya wananchi atayatimiza